brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
daa me natumia startimes ya 5000 kwa mwezi naangalia kwa sam misagoHivi kipindi gani ni kizuri zaidi kati ya friday night live kinachoendeshwa na Sam Misago na Ommy Crazy wa EATV au D'Wikend chat show kinachoongozwa na Soudy Brown na QWhiser wa Clouds tv??
Maana daah ikifika ijumaa nashindwa niangalie wapi maana kote napa kubali
View attachment 403260
View attachment 403261
Wewe je karata yako unaitupia wapi, FNL au D'Weekend chat show?
Hahaha kweli aisee hawanaga jipya.Kile cha clouds kinatakiwa kiitwe Diamond wknd chrt show.maana kira wiki ni ooho diamond kalala na mobeto,
ooho wema kalala madale,
oooh mama mond kamlisha zar na mkono wa kushoto
oooh wolper bado anatoka na mond halmo ni mpambe tuu.
Siku wasipomzunguzia diamondi nadhani hawakunikagi.
Sio kweli labda wewe ni mfuatiliji wa mara moja moja sanaKile cha clouds kinatakiwa kiitwe Diamond wknd chrt show.maana kira wiki ni ooho diamond kalala na mobeto,
ooho wema kalala madale,
oooh mama mond kamlisha zar na mkono wa kushoto
oooh wolper bado anatoka na mond halmo ni mpambe tuu.
Siku wasipomzunguzia diamondi nadhani hawakunikagi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakweli mm team SHILAWADU hatushindwiiiiiiiiiii ntakupigia ntakupigia
Usiku mwema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umekuja juu