Kipi kipindi bora kati ya Friday night live na D'Wikend chat show

Friday Night Live is the best ever hicho kingine nilijaribu kukiangalia siku moja nilishindwa kabisa kumalizia na sikuamini watoto wa kiume kabisa kutangaza vile
 
fnl ni show kali, usiifananishe na vitu vya kiseng*e
 
Sasa nimeanza kuelewa kwanini unapigwa ban kila leo..
Yani unalinganisha Fnl na hicho kitu?
Kwanza clouds wamecopy kama walivyo copy Clouds E KWA e-news
Kwanza Fnl ni live halafu hicho kingine ni recorded.....
Pili Clouds hawana watangazaji mahili kwenye kipindi chao....
Halafu watangazaji wa CLOUDS kwenye hicho kipindi hawako smart kabisa hasa kwenye uvaaji...
Clouds hawana uwezo wa kuwashinda EATV kwenye Tv
 
Mwanaume wa Ukweli huwezi kutizama Pu.mba za wale vijana
 
Hivi mtu na akili yako timamu kweli unaweza washa TV yako ukawangalia wale vijana wa Clouds

Siku zote mtu mwenye akili ndogo ndio hukaa na kujadili watu, alafu afadhali kile kipindi wangepewa wanawake kina Diva tungejua ni tabia zao wanawake sasa watoto wa kiume astakafurahi ujinga ule


FNL wapo vizuri wapo kikazi zaidi siyo wale wa Clouds wapo kukaa wanaongea ujinga tu hicho ni kipindi cha watoto wa form two
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…