muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
FNL ya Misago ipo vzr..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama recorded basi tuishindanishe na na huyu dada wa tv1 wa umbeyaFNL inarukaga live hewani na da wikiend chart show huwa ni recorded.
kama recorded basi tuishindanishe na na huyu dada wa tv1 wa umbeaFNL inarukaga live hewani na da wikiend chart show huwa ni recorded.
HahahahahahaaFNL wako vzuri na serious na kipinddi hyo ya clouds wamezidisha uswahiili na umbeya na huyo sudi anavovaaga huko usoni ka jambazi
fnl ni show kali, usiifananishe na vitu vya kiseng*eHivi kipindi gani ni kizuri zaidi kati ya friday night live kinachoendeshwa na Sam Misago na Ommy Crazy wa EATV au D'Wikend chat show kinachoongozwa na Soudy Brown na QWhiser wa Clouds tv??
Maana daah ikifika ijumaa nashindwa niangalie wapi maana kote napa kubali
View attachment 403260
View attachment 403261
Wewe je karata yako unaitupia wapi, FNL au D'Weekend chat show?
Sasa nimeanza kuelewa kwanini unapigwa ban kila leo..Hivi kipindi gani ni kizuri zaidi kati ya friday night live kinachoendeshwa na Sam Misago na Ommy Crazy wa EATV au D'Wikend chat show kinachoongozwa na Soudy Brown na QWhiser wa Clouds tv??
Maana daah ikifika ijumaa nashindwa niangalie wapi maana kote napa kubali
View attachment 403260
View attachment 403261
Wewe je karata yako unaitupia wapi, FNL au D'Weekend chat show?