Kipi kipindi bora kati ya Friday night live na D'Wikend chat show

Kipi kipindi bora kati ya Friday night live na D'Wikend chat show

ile ya eatv ipo kishuashua hii ya clouds ipo ki-kiswahili sana so nnauhakika ya clouds inatazamwa na wengi
 
Acha kulinganisha Friday night live na vitu vya kijinga. Clouds wameiga hicho kila kitu kutoka eatv na bado wameshindwa kuwa wabunifu
Friday Night n hatari... kama umetizama show zote mbili huwez kufananisha kipind hiki na FNL...
 
Da weekend wanaboa kale kastudio kaduchu kama choo cha uswazi bana yaani kamejibana mno naona
FNL sijaangalia kitambo ila napenda studio yao pana wanajiachia mpaka raha
we nawe dish sa wambea sehem pana la nn??
 
wakipumzika Ijumaa hii ijayo watamuongelea watamuongelea ijayo.kipind chao kinaboa sana kwa kuwa waongo waongo
++ uchonganishaji na udhalilishaji.
kutanguliza ngono na mambo binafsi ya familia za watu.
BTW huwa hawajiamini hasa km wanaemuhoji amewazid sn kipato au yupo straight katka mambo ya muhimu kuhojiwa.
 
[QUnen"Azarel, post: 18115140, member: 383171"]Clouds ni nini kwanza tuanzie hapo?[/QUOTE]
Ni neno la Lugha ya Kingereza lenye maana ya mawingu kwa Kiswahili.
 
Sijawahi kushawishika hata siku moja kuangalia FNL kabla hata hiki cha SHILAWADU hakijaanza nilikua siangalii na sitoa angalia nakiskiaga tu kwa watu kama ninavyo waona hapa mnakitaja.... ntakupigia ntakupigaaa
 
Sasa nimeanza kuelewa kwanini unapigwa ban kila leo..
Yani unalinganisha Fnl na hicho kitu?
Kwanza clouds wamecopy kama walivyo copy Clouds E KWA e-news
Kwanza Fnl ni live halafu hicho kingine ni recorded.....
Pili Clouds hawana watangazaji mahili kwenye kipindi chao....
Halafu watangazaji wa CLOUDS kwenye hicho kipindi hawako smart kabisa hasa kwenye uvaaji...
Clouds hawana uwezo wa kuwashinda EATV kwenye Tv


Asante mkuu umemaliza ,hao clouds shilawadu wasubiri kushindana na TV - E ya kina mpoki na bi Hindu under Efm
 
Mtanisamehe but moja ya vitu vinavyoniumiza ni kukosa EATV kwenye DSTV. ila wameahidi wataiweka soon, hawa wengine channel yao nimeiweka kama Porn channel so kuiangalia mpaka uweke codes na bahati pia TBC nayo kwangu haina sauti so hakuna anayeangalia.

Sipendi ujinga mimi
 
Clouds na maujanja yao yote lakini kwa EATV wanatiaga huruma. EATV kibongo bongo wanakimbiza mbaya.
 
Back
Top Bottom