Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Teh wewe kumbe sio mtu wa mchezo mchezoAngekuwa anahost mtu tofauti na sam may be ningeweza kukiangalia maana namuonaga ana swaga flani hivi za kizamani so bora niwaangalie wambea wenzangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh wewe kumbe sio mtu wa mchezo mchezoAngekuwa anahost mtu tofauti na sam may be ningeweza kukiangalia maana namuonaga ana swaga flani hivi za kizamani so bora niwaangalie wambea wenzangu.
Ntakupigia......ntakupigia.....[emoji1]Teh wewe kumbe sio mtu wa mchezo mchezo
Noma noma nomaNtakupigia......ntakupigia.....[emoji1]
Friday Night n hatari... kama umetizama show zote mbili huwez kufananisha kipind hiki na FNL...Acha kulinganisha Friday night live na vitu vya kijinga. Clouds wameiga hicho kila kitu kutoka eatv na bado wameshindwa kuwa wabunifu
we nawe dish sa wambea sehem pana la nn??Da weekend wanaboa kale kastudio kaduchu kama choo cha uswazi bana yaani kamejibana mno naona
FNL sijaangalia kitambo ila napenda studio yao pana wanajiachia mpaka raha
++ uchonganishaji na udhalilishaji.wakipumzika Ijumaa hii ijayo watamuongelea watamuongelea ijayo.kipind chao kinaboa sana kwa kuwa waongo waongo
Sasa nimeanza kuelewa kwanini unapigwa ban kila leo..
Yani unalinganisha Fnl na hicho kitu?
Kwanza clouds wamecopy kama walivyo copy Clouds E KWA e-news
Kwanza Fnl ni live halafu hicho kingine ni recorded.....
Pili Clouds hawana watangazaji mahili kwenye kipindi chao....
Halafu watangazaji wa CLOUDS kwenye hicho kipindi hawako smart kabisa hasa kwenye uvaaji...
Clouds hawana uwezo wa kuwashinda EATV kwenye Tv