Kipi kitatokea ikiwa mwanamke atatumia dawa za kuongeza nguvu za kiume..?

dyu
 
Simple tu,,,,Antenna ile itasimama
 
Atakuwa na uwezo wa kukatikia mpini hata feni isione ndani. Hapo ndipo mwanaume kama hujashiba vizuri unaweza lia Meee kama mbuzi!
 
Zaman kuna wadada tulikua tunaenda kukata nao majani huko vijijini,siku moja wakala ile miziz ambayo tunaiita mikongora, ndio hali hiyo ikajitokeza


Zamani sana
Ina kazi gani hiyo mizizi?

Nini kiliwatokea?
 
Ni dawa kwa wenye matatizo ya moyo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkongoraa umenikumbusha shule advance kuna vijana walikuwa wanakula hiyo kama chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…