dyuhabari zenu wandugu..?
niende kwenye mada
binafsi naomba kufahamu ni kitu gani kitatokea endapo msichana/mwanamke atatumia dawa za kuongeza nguvu za kiume ambazo zimewekwa maalum kwa ajili ya kumsaidia mwanaume..?
nb:kila mtu anafahamu hizi dawa ni kwa ajili ya mwanaume lakini em tuchukulie ni mwanamke ndo akazitumia, kipi kitatokea badae...