Kipi kitatokea nikiagiza Henessy mbele ya Boss mlipa bill aliyeagiza K Vant?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Does everyone in your team EAT ?! Au Boss tu ndio anafaidi..?! Kwenye timu yako kila mtu ana uhuru wa ku-order anachotaka au wanasoma upepo wa Boss kubwa kwanza; kama anapiga K-vant basi hawa agizi Hennessy wanasema “naomba konyagi ndogo” au “na mimi K-Vant”

Kila mtu akiwa ana nufaika kwa namna moja au nyingine, ndio jitihada zinazidi from the team members na ku guarantee sustainable success. Na ni muhimu kujenga team ya watu ambao sio tu wanasema “Ndio boss” bali kila mtu anakuwa na uhuru wa mawazo na kuchangia kiusawa kabisa katika kukuza , Biashara ,office and etc

UKIFANYA MWENYEWE UTAFIKA

UKIFANYA NA GOOD TEAM UTAFIKA MBALI.
FB_IMG_17433440311667935.jpg
 
Does everyone in your team EAT ?! Au Boss tu ndio anafaidi..?! Kwenye timu yako kila mtu ana uhuru wa ku-order anachotaka au wanasoma upepo wa Boss kubwa kwanza; kama anapiga K-vant basi hawa agizi Hennessy wanasema “naomba konyagi ndogo” au “na mimi K-Vant”

Kila mtu akiwa ana nufaika kwa namna moja au nyingine, ndio jitihada zinazidi from the team members na ku guarantee sustainable success. Na ni muhimu kujenga team ya watu ambao sio tu wanasema “Ndio boss” bali kila mtu anakuwa na uhuru wa mawazo na kuchangia kiusawa kabisa katika kukuza , Biashara ,office and etc

UKIFANYA MWENYEWE UTAFIKA

UKIFANYA NA GOOD TEAM UTAFIKA MBALI.View attachment 3290163
Hskiki una financial freedom ili akizingua unajilipia, vinginevyo agiza hiyo henessy halafu boss atakutaka umsindikize hotelini mkiwa wawili...akafidie henessy yake
 
Uhujumu uchumi kwa Boss.
Kuna chawa atajitokeza hapo utapigwa jungu moja tu, boss ataambiwa naskia jamaa amekushika maskio Yani bila yeye mambo yako hayaendi ndio maana anaagiza anachotaka
 
Back
Top Bottom