Does everyone in your team EAT ?! Au Boss tu ndio anafaidi..?! Kwenye timu yako kila mtu ana uhuru wa ku-order anachotaka au wanasoma upepo wa Boss kubwa kwanza; kama anapiga K-vant basi hawa agizi Hennessy wanasema “naomba konyagi ndogo” au “na mimi K-Vant”
Kila mtu akiwa ana nufaika kwa namna moja au nyingine, ndio jitihada zinazidi from the team members na ku guarantee sustainable success. Na ni muhimu kujenga team ya watu ambao sio tu wanasema “Ndio boss” bali kila mtu anakuwa na uhuru wa mawazo na kuchangia kiusawa kabisa katika kukuza , Biashara ,office and etc
UKIFANYA MWENYEWE UTAFIKA
UKIFANYA NA GOOD TEAM UTAFIKA MBALI.
View attachment 3290163