Kipi nafuu kuishiwa pesa au nguvu za kiume

Kipi nafuu kuishiwa pesa au nguvu za kiume

bongo dili

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
12,350
Reaction score
25,180
Hivi vitu viwili ni silaha kuu kwa mwanaume ili kuwini upande wa pili.
Mwanamke anaweza vumilia mwanaume asiye na nguvu na Sio asiye na pesa.
Screenshot_20231002-213312.png
 
Waafrika mna laana Kali sana. Mazungumzo mengi lazima yahusu ngono tu. Mna safari ngumu mno Duniani.
 
Nguvu za kiume ni zipi hapa ..

Kuweza kupeleka moto kweli kweli ,kifuani Kwa mwanaume saa nzima unapush dushe ndani ...lakin low sperm count ,hauwezi kutunga Mimba ....hii hata kama unapesa utakimbiwa tu ....


Kusimamisha na kumiliki tendo ndani ya dakika mbili chaliii ...lakin mbegu nzito zenye rutuba na kutengeneza ujauzito ......hii kama unapesa utavumiliwa na mke ataishi ,na hata kama Hauna pesa kuna aina ya wanawake ambao hawajaharibiwa na mitandao na kuangalia movie za ngono sijui kufukishana kilelen atavumilia ,hasa watu WA kijijini hawana muda sijui kilelen ,ilimradi umempa ujauzito ,Hawa WA mjini kutwa kutumia matoy ,tango kujiingiza ndio hutawaweza ..............


Kusimamisha lege lege ,na kushindwa kufanya tendo kabisa ....hii ndio hatarii .....hapa hata uwe na pesa ,ndoa itakuwa ngumu

Kushindwa kusimamisha kabisa .....hii ndio kwisha kabisa ,hata uwe na pesa Hakuna mwanamke atakuvumulia ,usipokuwa na pesa ndio kabisa utaona Kila Rangi ya dunia ....
 
Mkiu pesa ndo inaleta nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom