Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Vijana wengi siku hizi wanaogopa Sana kuoa eti kisa hawajajipanga vizuri kimaisha kwa hiyo wanahisi wakio watashindwa kuhudumia familia zao.
Vijana wengi ckuiz wamejiaminisha kwamba lazima utengeneze Mambo yako hasa ya kiuchumi ndo uvute mwanamke ndani na wapo wengine ambao wanaamini kijana anatakiwa aoe Kama bado anayumba kiuchumi ili waweze kujijenga pamoja.
Sasa wakuu Kati ya hayo Mambo mawili hivi nyie mnaona kipi ndo Bora zaidi kuliko kingine Je,kijana atengeneze uchumi wake kwanza ndo ake ama aoe ru hata Kama hayupo sawa kiuchumi ili waweze kujijenga pamoja na mkewe?
Tujadiliane kuhusu hili.