Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Jipange kwanza kimaisha ndipo uoe, kinyume chake ni kukaribisha kudharauliwa na mke wako.Vijana wengi siku hizi wanaogopa Sana kuoa eti kisa hawajajipanga vizuri kimaisha kwa hiyo wanahisi wakio watashindwa kuhudumia familia zao.
Vijana wengi ckuiz wamejiaminisha kwamba lazima utengeneze Mambo yako hasa ya kiuchumi ndo uvute mwanamke ndani na wapo wengine ambao wanaamini kijana anatakiwa aoe Kama bado anayumba kiuchumi ili waweze kujijenga pamoja.
Sasa wakuu Kati ya hayo Mambo mawili hivi nyie mnaona kipi ndo Bora zaidi kuliko kingine Je,kijana atengeneze uchumi wake kwanza ndo ake ama aoe ru hata Kama hayupo sawa kiuchumi ili waweze kujijenga pamoja na mkewe?
Tujadiliane kuhusu hili.
Vinginevyo kama bado mambo ya uchumi hayajakaa sawa, tafuta tu mchumba ila siyo mke.. utamwoa baada ya kufanikiwa naye