Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Ahsante Sana mkuu kwa ujumbe wako mzuriMkuu maisha ni wewe unaivyoishi kila siku ukipata mtu sahihi oa hata sasa hakuna siku utakayo yapatia maisha ior destiny ni kifo no matter what we are looking for tutaviacha don't do to impress people even if we need them, find a purpose of what you breath every day, money is temporarily although is basic part of survival.
Aisee!Bora uweke mambo sawa. Angalia mfano unatafuta maisha huku unagundua mke anakusaliti huku life bado la kuunga unga hizo stress zake
Unawaza ubaya tu [emoji23][emoji23]Bora uweke mambo sawa. Angalia mfano unatafuta maisha huku unagundua mke anakusaliti huku life bado la kuunga unga hizo stress zake
Bora kumpata mnayependana. Mahusiano matamu huendeshwa na UPENDO kazi ya pesa ni kuendesha MAISHA tu,uwe kwenye mahusiano usiwe kwenye mahusiano utahitaji pesa. Ndio maana ukiwa na pesa ukimpata mtu hutojua kama kakupenda wewe au pesa zako.Vijana wengi siku hizi wanaogopa Sana kuoa eti kisa hawajajipanga vizuri kimaisha kwa hiyo wanahisi wakio watashindwa kuhudumia familia zao.
Vijana wengi ckuiz wamejiaminisha kwamba lazima utengeneze Mambo yako hasa ya kiuchumi ndo uvute mwanamke ndani na wapo wengine ambao wanaamini kijana anatakiwa aoe Kama bado anayumba kiuchumi ili waweze kujijenga pamoja.
Sasa wakuu Kati ya hayo Mambo mawili hivi nyie mnaona kipi ndo Bora zaidi kuliko kingine Je,kijana atengeneze uchumi wake kwanza ndo ake ama aoe ru hata Kama hayupo sawa kiuchumi ili waweze kujijenga pamoja na mkewe?
Tujadiliane kuhusu hili.
KWA UZOEFU WANGU, ni bora kujipanga vizuri kabla ya kuoa...Vijana wengi siku hizi wanaogopa Sana kuoa eti kisa hawajajipanga vizuri kimaisha kwa hiyo wanahisi wakio watashindwa kuhudumia familia zao.
Vijana wengi ckuiz wamejiaminisha kwamba lazima utengeneze Mambo yako hasa ya kiuchumi ndo uvute mwanamke ndani na wapo wengine ambao wanaamini kijana anatakiwa aoe Kama bado anayumba kiuchumi ili waweze kujijenga pamoja.
Sasa wakuu Kati ya hayo Mambo mawili hivi nyie mnaona kipi ndo Bora zaidi kuliko kingine Je,kijana atengeneze uchumi wake kwanza ndo ake ama aoe ru hata Kama hayupo sawa kiuchumi ili waweze kujijenga pamoja na mkewe?
Tujadiliane kuhusu hili.
Yani mi ntafute afu ye aje tu apige bata[emoji41][emoji848][emoji119][emoji109]Vijana wengi siku hizi wanaogopa Sana kuoa eti kisa hawajajipanga vizuri kimaisha kwa hiyo wanahisi wakio watashindwa kuhudumia familia zao.