Kipi ni bora? Tv za mtumba (kutoka zanzibari) au tv mpya ya dukani?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Wakuu nimeenda duka moja la mitumba mkoani huku, nimepata TV ya mtumba Panasonic inch 32 mwenye nayo kanambia bei ya mwisho ni 410,000/=
At the same time nimepata TV mwanza inch 32 kampuni ni rising bei ni 280,000/=

Je uhakika wa hizi TV inch 32 wanaodai ni used from UK je ni sahii?

IMG_20230112_171217_4.jpg

IMG_20230112_171210_5.jpg

IMG_20230112_170110_9.jpg

Lakini pia kuna TV za alitop bei zake ni chiini saaana.

Naomba kueleweshwa hapo.
 
Wakuu nimeenda duka moja la mitumba mkoani huku, nimepata TV ya mtumba Panasonic inch 32 mwenye nayo kanambia bei ya mwisho ni 410,000/...
Mkuu hiyo panasonic ina frame pana hata haivutii. Na pia isije kuwa plasma ikakulia umeme kama pasi.
Kwa sasa andhan tv zote zinazopatikana kariakoo na maduka ya mtaani ni fake maana haijalishi jina zote ni cheap.
 
Mkuu hiyo panasonic ina frame pana hata haivutii. Na pia isije kuwa plasma ikakulia umeme kama pasi.
Mkuu kwenye swala la TV sijui lolote lile, nategemea maoni hayo ili mwisho wa siku nijue nafanyaje. Bajeti yangu ni 400k na sijui nichukue TV gani mkuu,..
 
Mkuu sio alitop tu nimeona tv zote iwe samsung, iwe hisense, sijui iwe jina gani siku hizi zina bei zinafanana. Sijui ni mchina anazalisha wanajipigia chapa tu. Ila mimi ningenunua tu ya dukani nikaachana used
Nitafanya hivyo,maana used ni bei kubwa na anaimwagia sifa tele naweza ichukua baadae ikanishangaza.
 
Nitafanya hivyo,maana used ni bei kubwa na anaimwagia sifa tele naweza ichukua baadae ikanishangaza.
Wakuu nimeenda duka moja la mitumba mkoani huku, nimepata TV ya mtumba Panasonic inch 32 mwenye nayo kanambia bei ya mwisho ni 410,000/=
At the same time nimepata TV mwanza inch 32 kampuni ni rising bei ni 280,000/=

Je uhakika wa hizi TV inch 32 wanaodai ni used from UK je ni sahii?
View attachment 2478327

View attachment 2478329

View attachment 2478332

Lakini pia kuna TV za alitop bei zake ni chiini saaana.

Naomba kueleweshwa hapo.
sijawai amini mtumba katika vitu vinavyotumia umeme.
 
Wakuu nimeenda duka moja la mitumba mkoani huku, nimepata TV ya mtumba Panasonic inch 32 mwenye nayo kanambia bei ya mwisho ni 410,000/=
At the same time nimepata TV mwanza inch 32 kampuni ni rising bei ni 280,000/=

Je uhakika wa hizi TV inch 32 wanaodai ni used from UK je ni sahii?
View attachment 2478327

View attachment 2478329

View attachment 2478332

Lakini pia kuna TV za alitop bei zake ni chiini saaana.

Naomba kueleweshwa hapo.

TV za mtumba zinakunywa umeme hatari, sijajua kwa nini??
 
Back
Top Bottom