Kipi ni bora? Tv za mtumba (kutoka zanzibari) au tv mpya ya dukani?

Wakuu nimeenda duka moja la mitumba mkoani huku, nimepata TV ya mtumba Panasonic inch 32 mwenye nayo kanambia bei ya mwisho ni 410,000/=
At the same time nimepata TV mwanza inch 32 kampuni ni rising bei ni 280,000/=

Je uhakika wa hizi TV inch 32 wanaodai ni used from UK je ni sahii?
View attachment 2478327

View attachment 2478329

View attachment 2478332

Lakini pia kuna TV za alitop bei zake ni chiini saaana.

Naomba kueleweshwa hapo.
Kwa hiyo hela ya mtumba naona ni juu
Kama unayo hela ya kununua hiyo ya mtumba mbona unapata TV nzuri tu mpya. Nenda dukani kanunue TV mpya ya Samsung kwenye Duka rasmi sio vichochoroni.
Ukipata Samsung OG Unaweza kukaa nayo hadi uamue kuibadilisha au niseme; alinunua babu hata mjukuu anaitumia
 
Mkuu kwenye swala la TV sijui lolote lile, nategemea maoni hayo ili mwisho wa siku nijue nafanyaje. Bajeti yangu ni 400k na sijui nichukue TV gani mkuu,..
Ongeza hela mpaka 500k ununue TV ya LG inch 32 (au samsung).

  • Achana na huo mtumba upo outdated kiteknologia
  • Achana na matv ya laki 2 ya kichina, hamna quality ya maana humo

Ongeza hela Nunua LG au Samsung, Period
 
Nimekuelewa mkuu
 
Kuna mtumba nzuri na latest kuliko mpya za Aborder na mchina wenzake

Kwa bei hiyo laki 4 kuitoa zanzibar ni pesa nyingi sana mkuu bora ununue tu hiyo mpya hapo hapo Mwanza.

Ungekuwa Dar ningekupa machimbo ya TV za mtumba kwa bei ndogo kuliko hizo za Zanzibar
 
Nipo kibondo mkuu
 
Ongeza hela mpaka 500k ununue TV ya LG inch 32 (au samsung).

  • Achana na huo mtumba upo outdated kiteknologia
  • Achana na matv ya laki 2 ya kichina, hamna quality ya maana humo

Ongeza hela Nunua LG au Samsung, Period
Acha kumdanganya mwenzio ndugu yangu anauza hizo tv ulizozisifia hapa ila anadai zote ni sawa tu kuna anaenunua hizo Samsung akatumia miezi mitatu habari ikaisha na kuna anaenunua hizo oulling akakaa nayo zaidi ya miaka 4
 
Wakuu nimeenda duka moja la mitumba mkoani huku, nimepata TV ya mtumba Panasonic inch 32 mwenye nayo kanambia bei ya mwisho ni 410,000/=
At the same time nimepata TV mwanza inch 32 kampuni ni rising bei ni 280,000/=

Je uhakika wa hizi TV inch 32 wanaodai ni used from UK je ni sahii?

View attachment 2478327

View attachment 2478329

View attachment 2478332

Lakini pia kuna TV za alitop bei zake ni chiini saaana.

Naomba kueleweshwa hapo.
KUTOKEA ZANZIBAR NATOA USHAURI KAMA HIVI: nunua kitu kipya cha dukani
 
Acha kumdanganya mwenzio ndugu yangu anauza hizo tv ulizozisifia hapa ila anadai zote ni sawa tu kuna anaenunua hizo Samsung akatumia miezi mitatu habari ikaisha na kuna anaenunua hizo oulling akakaa nayo zaidi ya miaka 4
Wewe.acha uongo katika TV ni kampuni hizi tu Sony bravia,Samsung,LG,au kidogo Hisense zaidi ya hapo umeliwa na ukija Dar kuna maduka maalum uanauza og wengine wote ni copy hata kariakoo zimejaa copy
 
Back
Top Bottom