Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Samsung OG ambayo huuzwa kwenye maduka ya mawakala wa Sumsung bei yake siyo ya kitoto..Kwa hiyo hela ya mtumba naona ni juu
Kama unayo hela ya kununua hiyo ya mtumba mbona unapata TV nzuri tu mpya. Nenda dukani kanunue TV mpya ya Samsung kwenye Duka rasmi sio vichochoroni.
Ukipata Samsung OG Unaweza kukaa nayo hadi uamue kuibadilisha au niseme; alinunua babu hata mjukuu anaitumia