Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Kweli mkuu?Chukuwa ya dukan mtumba ni mtumba tu
Mkuu hiyo panasonic ina frame pana hata haivutii. Na pia isije kuwa plasma ikakulia umeme kama pasi.Wakuu nimeenda duka moja la mitumba mkoani huku, nimepata TV ya mtumba Panasonic inch 32 mwenye nayo kanambia bei ya mwisho ni 410,000/...
Mkuu kwenye swala la TV sijui lolote lile, nategemea maoni hayo ili mwisho wa siku nijue nafanyaje. Bajeti yangu ni 400k na sijui nichukue TV gani mkuu,..Mkuu hiyo panasonic ina frame pana hata haivutii. Na pia isije kuwa plasma ikakulia umeme kama pasi.
Mkuu hiyo panasonic ina frame pana hata haivutii. Na pia isije kuwa plasma ikakulia umeme kama pasi.
Kwa sasa andhan tv zote zinazopatikana kariakoo na maduka ya mtaani ni fake maana haijalishi jina zote ni cheap.
Huyu mchina utatumia mwaka kisha inabidi ujenge urafiki na mafundi TV
Mkuu sio alitop tu nimeona tv zote iwe samsung, iwe hisense, sijui iwe jina gani siku hizi zina bei zinafanana. Sijui ni mchina anazalisha wanajipigia chapa tu. Ila mimi ningenunua tu ya dukani nikaachana used
Kwa upande wa nyuma nimeona wameandika assembly from Czech but made from UK...Huyu mchina utatumia mwaka kisha inabidi ujenge urafiki na mafundi TV
Nitafanya hivyo,maana used ni bei kubwa na anaimwagia sifa tele naweza ichukua baadae ikanishangaza.Mkuu sio alitop tu nimeona tv zote iwe samsung, iwe hisense, sijui iwe jina gani siku hizi zina bei zinafanana. Sijui ni mchina anazalisha wanajipigia chapa tu. Ila mimi ningenunua tu ya dukani nikaachana used
Tafuta Sony, LG, Samsung dukani utanishukuruKwa upande wa nyuma nimeona wameandika assembly from Czech but made from UK...
unamaanisha mchina ni hiyo Panasonic au rising.
Nitafanya hivyo,maana used ni bei kubwa na anaimwagia sifa tele naweza ichukua baadae ikanishangaza.
sijawai amini mtumba katika vitu vinavyotumia umeme.Wakuu nimeenda duka moja la mitumba mkoani huku, nimepata TV ya mtumba Panasonic inch 32 mwenye nayo kanambia bei ya mwisho ni 410,000/=
At the same time nimepata TV mwanza inch 32 kampuni ni rising bei ni 280,000/=
Je uhakika wa hizi TV inch 32 wanaodai ni used from UK je ni sahii?
View attachment 2478327
View attachment 2478329
View attachment 2478332
Lakini pia kuna TV za alitop bei zake ni chiini saaana.
Naomba kueleweshwa hapo.
Wakuu nimeenda duka moja la mitumba mkoani huku, nimepata TV ya mtumba Panasonic inch 32 mwenye nayo kanambia bei ya mwisho ni 410,000/=
At the same time nimepata TV mwanza inch 32 kampuni ni rising bei ni 280,000/=
Je uhakika wa hizi TV inch 32 wanaodai ni used from UK je ni sahii?
View attachment 2478327
View attachment 2478329
View attachment 2478332
Lakini pia kuna TV za alitop bei zake ni chiini saaana.
Naomba kueleweshwa hapo.
Shukrani sana, nimeshakuelewaChukua dukani...jamaa yangu alichukua mtumba hakumaliza nayo hata mwaka