Kipi ni bora? Tv za mtumba (kutoka zanzibari) au tv mpya ya dukani?

Samsung OG ambayo huuzwa kwenye maduka ya mawakala wa Sumsung bei yake siyo ya kitoto..
 
Acha kumdanganya mwenzio ndugu yangu anauza hizo tv ulizozisifia hapa ila anadai zote ni sawa tu kuna anaenunua hizo Samsung akatumia miezi mitatu habari ikaisha na kuna anaenunua hizo oulling akakaa nayo zaidi ya miaka 4
Sumsang unanunua Duka gani?
Kama unakwenda kwa agent wa kuuza hizo TV hakuna shida
 
Wape wape vidonge vyao leo
 
Soma jibu langu uelewe. Nimesema INATEGEMEANA na hizo factors nilizotaja(maana yake ni kwamba kufanana au kutofanana Kunategemeana na hizo sababu nilizotaja), ni nini usichoelewa?
Hawezi kukuelewa huyo anamawazo kama Manara
 
Soma jibu langu uelewe. Nimesema INATEGEMEANA na hizo factors nilizotaja(maana yake ni kwamba kufanana au kutofanana Kunategemeana na hizo sababu nilizotaja), ni nini usichoelewa?
Kwahiyo kumbe hazifanani? Nilikuuliza swali dogo ukaleta maelezo marefu mara hivi mara vile, sanahani wewe ni mkristo?
 
Kuna vitu basic sana watu hawavifahamu na vinaua sana vifaa vyetu majumbani,umeme kukatika katika nimojawapo ya hivyo vitu, umeme ukikatika wkt wakurudi km wiring haipo vzr hua unarudi unakua mwingi.
Hakikisha vifaa km friji,radio,TV vipo kwenye umeme msafi,nunua stabiliser itakusaidia sn,nunua guard kustabalize umeme ilikulinda vifaa vyako...umeme wa direct navifaa tajwa haviwezi dumu kamwe
 
Mi nilibahatika kununua kitu cha Sony Bravia mtumba niliagiza kutoka Zanzibar ni hatari sana. Yaani unaweza kuiwasha siku kucha bila kuzima na wala haichemshi. Toka 2014 hadi leo wala haina tatizo lolote.
 
Nasikia zinakula sana umeme
 
Mtu wa mtumba kula chuma iko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…