DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Huyu hapa Mtume Paulo akimwaga nondo za kufa mtu kuhusu hili suala.*USEJA - hii ni ile hali ya mtu kuishi bila ndoa.
Swali : Kwa dunia ya Sasa na maisha ya sasa yalivyo kipi ni bora kuishi maisha ya useja au kukubali kuoa/kuolewa ?
- Kwangu Mimi maisha yaliyo bora ni kuishi kwenye useja.
- Vipi kwenu nyie wanajamii majibu yenu ni yapi [ useja au kuoa/kuolewa ].
Bado sijakuelewa. Kwa hiyo kwako kipi ni bora useja au ndoa? 🤔Hakuna mpango wa Mungu wenye hasara kwenye maisha ya mwanadamu..!
Ukiona jambo linapigwa sana mawe na waja mara nyingi unapata ni lile jambo lililo sahihi..!
Mpango wa Mungu unaoufahamu ni upi..?Bado sijakuelewa . Kwa hiyo kwako kipi ni bora useja au ndoa? 🤔
Sifahamu mpango wa Mungu maana mimi sio mtu wa dini🤔. Labda wewe ungenielezea huo Mpango?Mpango wa Mungu unaoufahamu ni upi..?
Huo ndiyo nasimama nao.!
Duuh! Pole yakoUseja unachosha jumlisha upweke.
Hapa tu nishachoka upweke sasa sijui kukaa maisha yote kiseja kama nitaweza.
Mi nishajua tu kukaa kiseja siwezi ila ndio hivo sasa bahati mbaya ndoa zinanipitia kushoto.
Ooow,Sifahamu mpango wa Mungu maana mimi sio mtu wa dini🤔. Labda wewe ungenielezea huo Mpango?
Useja ni sawa na upweke tu.... Ndoa ni bora.*USEJA - hii ni ile hali ya mtu kuishi bila ndoa.
Swali : Kwa dunia ya Sasa na maisha ya sasa yalivyo kipi ni bora kuishi maisha ya useja au kukubali kuoa/kuolewa ?
- Kwangu Mimi maisha yaliyo bora ni kuishi kwenye useja.
- Vipi kwenu nyie wanajamii majibu yenu ni yapi [ useja au kuoa/kuolewa ].
Naomba aliye hack hii ID aendelee kuitumia zaidi hongera sana.Itategemea na calculation za kila mtu na pia ujue unachokifata na ukubaliane nacho.
Upande wa ndoa ukipata utakaeendananae utafurahia nje na hapo utaona useja ndo dili!..
Ktk kuchagua itategemea na muhusika.
Una majeraha sana pole tafta daktari wa kisaikolojiaSioni umuhimu wa kuoa, ishi mwenyew ufurahi
Upo sahihi nina majeraha, njoo uniponye mrembouna majeraha sana pole tafta daktari wa kisaikolojia