Kipi ni bora - Useja au kuoa/kuolewa?

Kipi ni bora - Useja au kuoa/kuolewa?

Kwani Mungu alifanya nini pale Eden?
Habari za Mungu na Eden kwangu hazina maana Sana kwa sababu mimi sio mtu wa kidini kwa hiyo siwezi kulielezea Hilo labda Kama ningekuwa mtu wa dini ningefanya hivyo
 

1 Kor 7:1-9​

Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
Lakini nasema hayo, kwa kutoa idhini yangu, si kwa amri. Ila nipendalo ni kwamba watu wote wawe kama mimi nilivyo; walakini kila mtu ana karama yake mwenyewe itokayo kwa Mungu, huyu hivi, na huyu hivi. Lakini nawaambia wale wasiooa bado, na wajane, Ni heri wakae kama mimi nilivyo. Lakini ikiwa hawawezi kujizuia, na waoe; maana ni afadhali kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Kwa hiyo mkuu kupitia hizo hadithi za kwenye kitabu cha biblia ulikuwa una maanisha nini ? Je unaungana na mwadishi wa hadithi hiyo aitwaye Paulo kuwa useja ni bora au wewe upo upande wa ndoa?🤔
 
Ukifikiria kwa makini, hivi useja sio kinyume na mapenzi ya Mungu? Mungu alimuumba Eva ili aishi na Adam, wewe ni nani upinge?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio wote hapa duniani ni watu wenye kuishi katika vifungo vya kidini wengine hawaamini na hawayaishi hayo yaliyopo kwenye dini[ kiufupi hawana na hawaamini dini yoyote ile ] je watu wa namna hii utasemaje wanaenda kinyume na mapenzi ya Mungu kupitia hizo hadithi za kwenye kitabu cha biblia [ za adamu na hawa ]wakati hawaziamini?🤔
 
Hivi kwa dunia ya sasa unaoa ili iweje ?
Fahamu ukweli mchungu kwamba asilimia kubwa ya wake za watu ndo wanaongoza kwa kugawa mbususu halafu asilimia kubwa ya wanaume waliooa ndio wanaongoza kwa stress na vifo vitokanavyo na maumivu ya mapenzi!
Tafuta mademu ambao wana nia ya kuzaa piga mimba kisha ghalimia malezi ya watoto wako ila ukitaka ufe mapema oa halafu lile njemba la boda boda linakuwa linamtafuna mkeo nyuma
 
Useja unachosha jumlisha upweke.
Hapa tu nishachoka upweke sasa sijui kukaa maisha yote kiseja kama nitaweza.
Mimi nishajua tu kukaa kiseja siwezi ila ndio hivyo sasa bahati mbaya ndoa zinanipitia kushoto.
Tafuta hela siku hizi mbususu zipo nyingi mpaka basi labda kama huna hela itabidi uwe mjanja wa mdomoni
 
Pia hata huo pia ni useja Kuna useja wa kidini na mwengine wa maamuzi ya mtu binafsi
[emoji23][emoji23] dah! Huo mwingine unaoutaja wewe sio useja ni uhuni. Unawakatamaa kila siku kisha kulala na wanawake tofauti huku ukijifariji moyoni kuwa niyatendayo ni sahihi kwakuwa umeambiwa maisha ni maamuzi yako. Unataka kuishi kiseja basi tulia achana na kuwaka tamaa ambazo kama kweli wewe ni mseja ungezishinda bali wewe huzishindwa kisha kufanya uzinzi na kutangaza kuwa ni kawaida. Muda ni muamuzi mzuri, maana kila binadamu afikapo miaka 40 -50 hujievaluate maisha yake kishahuona uzinzi ni starehe ya muda mfupi ila ni pigo balaa. Ila sina chakusema[emoji23][emoji23], hiki ni kizazi cha dotcom hivyo kila jambo hubadilishwa maana yake ili kila mtu ajione yupo sawa. Hakuna shortcut in life, ukiamua kuwa mseja basi achana na mauzinzi tuelewe wewe tamaa haikuendeshi lasivyo ni, uzinzi kama uzinzi na si useja na bado watoto mtataka kuwalea huku mkijiita waseja. Duniani kuna mambo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Useja unachosha jumlisha upweke.
Hapa tu nishachoka upweke sasa sijui kukaa maisha yote kiseja kama nitaweza.
Mimi nishajua tu kukaa kiseja siwezi ila ndio hivyo sasa bahati mbaya ndoa zinanipitia kushoto.
Pole,me naona nazoea kuwa mseja
 
Tafuta mdada mpole zaa nae alafu iba mtoto kamlee, mama yake mtafutie kibiashara au kama ana pesa mteme.

Ukishapata mtoto tafta single mother kama wawili wenye maisha, anzisha urafiki kwa ajili ya shoo tu. usiponenepa nitafute unifunge.
Sasa hapo unakuwa umefanya hivyo ili iweje?!
 
Mkuu sio wote hapa duniani ni watu wenye kuishi katika vifungo vya kidini wengine hawaamini na hawayaishi hayo yaliyopo kwenye dini[ kiufupi hawana na hawaamini dini yoyote ile ] je watu wa namna hii utasemaje wanaenda kinyume na mapenzi ya Mungu kupitia hizo hadithi za kwenye kitabu cha biblia [ za adamu na hawa ]wakati hawaziamini?[emoji848]
Sasa si wamepotoka sasa unahalalishaje watu waliopotoka kuishi kama wapo halali?!
 
Hivi kwa dunia ya sasa unaoa ili iweje ?
Fahamu ukweli mchungu kwamba asilimia kubwa ya wake za watu ndo wanaongoza kwa kugawa mbususu halafu asilimia kubwa ya wanaume waliooa ndio wanaongoza kwa stress na vifo vitokanavyo na maumivu ya mapenzi!
Tafuta mademu ambao wana nia ya kuzaa piga mimba kisha ghalimia malezi ya watoto wako ila ukitaka ufe mapema oa halafu lile njemba la boda boda linakuwa linamtafuna mkeo nyuma
Unakuwa mkali. Wengi wa wanawake now days hawana home trainings, hawakuandaliwa kuwa mke wa mtu wametumia umri wao mwingi wakiwa taasisi za kielimu, muda mwingi wameinamia vitabu vya shule, kushika masomo kichwani, kukimbizana na assignments za vyuo, na wamemaliza umri umeshapitiliza ule umri wa kufundwa, ukiwaambia ukweli kuhusu tabia zao na namna wanafeli wanakuona kama unawa attack.

So ni amri kwenda mbele hata wasiponyooka watajifunza kuishi kwa discipline. Shida na watoto wa kiume miaka hii hawana misingi mizuri ya kiumeni.
 
Back
Top Bottom