Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Una takwimu kusapoti hoja yako usilete story za 'hear say'.Nani kakudanganya kwamba hao watawa hawapigwi mti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una takwimu kusapoti hoja yako usilete story za 'hear say'.Nani kakudanganya kwamba hao watawa hawapigwi mti?
Ki vipi wamepotoka?🤔Sasa si wamepotoka sasa unahalalishaje watu waliopotoka kuishi kama wapo halali?!
Ndio hivyo unapoamua useja uwe tayari umejipanga kukabiliana na changamoto zake.[emoji23][emoji23] dah! Huo mwingine unaoutaja wewe sio useja ni uhuni. Unawakatamaa kila siku kisha kulala na wanawake tofauti huku ukijifariji moyoni kuwa niyatendayo ni sahihi kwakuwa umeambiwa maisha ni maamuzi yako. Unataka
*USEJA - hii ni ile hali ya mtu kuishi bila ndoa.
Swali: Kwa dunia ya Sasa na maisha ya sasa yalivyo kipi ni bora kuishi maisha ya useja au kukubali kuoa/kuolewa?
- Kwangu Mimi maisha yaliyo bora ni kuishi kwenye useja.
- Vipi kwenu nyie wanajamii majibu yenu ni yapi [ useja au kuoa/kuolewa ].
Nadhani hunifahamu vizuri mimi, Useja hautokani na uwezo wa akili alionao mtu bali useja ni maamuzi mtu aliyo amua kuchuka na kuuishi . Mapadre na watawa wote sio magineus Ila wameamua kuuishi useja .Ni watu wachache wanaoweza kuwa n
Kwenye hali ya useja kwa furaha kwa muda mrefu sana. Mara nyingi ni wale watu wenye akili sana kama Newton, Nikola Tesla, Beethoven au matajiri kama Oprah Winfrey, watu wa kawaida kama wewe wakiwa kwenye useja kwa muda mrefu huwa wanakuwa na visirani pamoja na hasira sana.
Nadhani hunifahamu vizuri mimi, Useja hautokani na uwezo wa akili alionao mtu bali useja ni maamuzi mtu aliyo amua kuchuka na kuuishi . Mapadre na watawa wote sio magineus Ila wameamua kuuishi useja .
Kama useja ni uwezo wa akili mkubwa basi Mwalimu , Deng Xiaoping, Abraham licoln , Albert Einstein, Marie Curie na wanasayansi manguli mbalimbali walio oa hawana uwezo wa akili mkubwa.
Nimekwisha kuambia useja hautokana na uwezo mkubwa wa akili bali ni maamuzi ya mtu binafsi yakichagizwa na sababu mbalimbali zinazo mchagiza mtu kuwa hivyo unapaswa utuulize sisi maseja kwa nini tumeamua kuwa waseja upate kuelekezwa . Nicola Tesla hakuoa wala kumiliki mpenzi kwa kuwa alihitaji muda mwingi zaidi wa kufanya tafiti za kisayansi na kujiepusha na mambo yasiyo na maana yatakayo mpotezea focus yake Kama kumiliki mke/mpenzi bali akamiliki paka, Yesu haku oa ili apate muda mwingi zaidi wa kutangaza injili, Paulo haku oa ili kujiepusha kuwa na familia itakayo mnyima muda mwingi wa kutangaza injili , mapadre na watawa hawa oi ili wapate muda mwingi zaidi wa kufanya kazi ya kanisa kuliko muda mwingi kuwaza kuzitunza familia zao. Useja ni maamuzi magumu achukuayo mtu kuishi katika kipindi fulani cha maisha au maisha yake yote ndio maana waseja huonekana Kama jamii ya watu wenye akili nyingi sana kitu ambacho sicho waseja wana maamuzi magumu sana kuishi tofauti na jamii inavyo taka ndio maana waseja wengi ni [ Alpha male na Alpha female ] hakuna kitu special sisi waseja tulicho nacho zaidi tu ya maamuzi magumu ambayo jamii hushangazwa.Ungekuwa una uelewa mzuri wa hesabu za set za kidato cha pili ungeelewa vizuri.
Oprah, no.Ni watu wachache wanaoweza kuwa n
Kwenye hali ya useja kwa furaha kwa muda mrefu sana. Mara nyingi ni wale watu wenye akili sana kama Newton, Nikola Tesla, Beethoven au matajiri kama Oprah Winfrey, watu wa kawaida kama wewe wakiwa kwenye useja kwa muda mrefu huwa wanakuwa na visirani pamoja na hasira sana.