Kipi ni chakula hasa (Main Dish) kati ya starch au protein?

Kipi ni chakula hasa (Main Dish) kati ya starch au protein?

Truth Matters

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
2,302
Reaction score
4,603
Wakuu kwema?

Kuna kitu kinanitatiza muda mrefu panapohusu swala la mlo na mapishi.

Ukienda migawahawa ya ushuani au umangani ukiuliza kuna chakula gani watakuambia: Kuku, Mbuzi, beef, Samaki nk kisha unachagua escort " kama chips, ugali, wali nk..

Ukienda Uswahili ukiuliza chakula watakuambia: Ugali, Wali, Ndizi, viazi kisha utachagua mboga kama nyama, samaki, nk.

Naona hapa vitu vimekuwa vice versa, upi ni mlo sahihi universally?
 
Back
Top Bottom