Kipi ni kigumu zaidi kati ya kuweka rekodi na kuvunja rekodi?

Kipi ni kigumu zaidi kati ya kuweka rekodi na kuvunja rekodi?

Joined
Jan 19, 2020
Posts
42
Reaction score
80
Wakuu kama kichwa cha uzi kinachoeleza najiuliza je ipi ina thamani kubwa na inaugumu zaidi kuliko kingine kati ya Kuweka rekodi na kuvunja rekodi!!!?
 
Uzi tayari? Shule mnafunguwa lini?

Huwezi kuvunja kitu ambacho hakijawekwa.
 
Back
Top Bottom