Kipi ni Kikosi Chako Bora Kwa Miaka 10 Iliyopita

Kipi ni Kikosi Chako Bora Kwa Miaka 10 Iliyopita

van da sir, alves,Baines, vidic, ramos,yaya toure,ronaldo,messi,dinho,inesta, zlatan..
Sub..
De gea, thiago silva, modric, bastan ,lam,rooney
 
1-Buffon
2-Cafu
3-R. Carlos
4-Desailly
5-Canavarro (Terry '60)
6-Viera (Makelele '45)
7-Pirlo (Seedorf '60)
8-Zidane
9-C. Ronaldo (Eto'o '45)
10-Ronaldinho
11-Messi

Refa: Pierluigi Collina
 
1-Buffon
2-Cafu
3-R. Carlos
4-Desailly
5-Canavarro (Terry '60)
6-Viera (Makelele '45)
7-Pirlo (Seedorf '60)
8-Zidane
9-C. Ronaldo (Eto'o '45)
10-Ronaldinho
11-Messi

Refa: Pierluigi Collina

hahaha umetisha sana Mkubwa. Umeshapanga mpaka wataotoka na watakao ingia na dakika kabisa (Wenger na Ancelotti watakuwa proud). kuua kabisa una mpaka refa(hapa hata Fergie hafikii haya matawi). Ila itakuwa friendly hii, subs 4?
 
van da sir, alves,Baines, vidic, ramos,yaya toure,ronaldo,messi,dinho,inesta, zlatan..
Sub..
De gea, thiago silva, modric, bastan ,lam,rooney

Mkubwa hii timu kuiendesha utakuwa na uwezo zaidi ya wa kibinadamu. Kwanza kuwafanya hao kina Dinho wakubali 'god' Zlatan ndo 'the main Man' itakuwa miujiza.
Na hiyo combination ya Ramos-Vidic, wote vichwa moto. Hapo utafunga sana kona, ila utakula sana kadi na kutoa penalties.
 
yeye ndio anavyoamini hao aliowachagua ni zaidi ya akina messi

Nadhani idea nzima ni kuwa, kama ungepewa nafasi ya kuwa coach, na uchague amabao ungependa kufanya nao kazi kulingana na matakwa yako, au nimeelewa vibaya?
 
umeshindwa kuelewa swali, ni heri upige kimya

Kwa anayejua mpira katika miaka kumi huwezi kuwa na wachezaji 11 tu ambao ni bora labda kama unataka kuleta ushabiki. Ukiangalia orodha walizotoa watu hapo juu utagundua kuwa ni wachezaji wengi sana walicheza vizuri kwa miaka hiyo na kuna wengine wengi tu hawajatajwa hivyo mimi ukiniambia nikutajie wachezaji 11 tu haitakuwa fair kwani wengi walicheza vizuri.
 
Mkuu una roho ngumu sana.. Yani toka 2005-2015, unampiga benchi messi, Cr7

mkuu there it is, Ronaldinho in peak, messi hagusi kabisa moto wake. Na beckham nimempanga coz ni natural number 7 wakati CR7 siyo number 7 natural kwa sasa. Hivi ushapatia picha aina yaa kikosi hicho nilichoweka ambapo kimesheheni De Lima mfunga magoli, Toti mpiga mawe, Ronaldinho mchezea mpira na zidane mtoa assist mzuri halafu uwaweke hao watu wako wakina Messi na CR7 ambao wanacheza mpira kwa kujiangalia mafanikio binafsi pasipo timu, timu itachezaje.? Issue siyo kupanga tuu kikosi. Issue ni kuangalia balance ya timu. Timu ukichagua majina utashangaa na matokeo utakayopata. Unaikumbuka Brazil ya 2006 ilivyokuwa imejaa majina.? But mwisho wa siku waliishia kuwa humiliated. nilichopanga hapo ni aina ya wachezaji wasioingiliana majukumu, Messi na Ronnaldo hawatoweza stick na primary duties zao watakazokuwa assigned.

Na hapo kocha nampa Carlo Anceloti.
 
1-Buffon
2-Cafu
3-R. Carlos
4-Desailly
5-Canavarro (Terry '60)
6-Viera (Makelele '45)
7-Pirlo (Seedorf '60)
8-Zidane
9-C. Ronaldo (Eto'o '45)
10-Ronaldinho
11-Messi

Refa: Pierluigi Collina

hahaha Collina refa bora wa wakati wote.
 
mkuu there it is, Ronaldinho in peak, messi hagusi kabisa moto wake. Na beckham nimempanga coz ni natural number 7 wakati CR7 siyo number 7 natural kwa sasa. Hivi ushapatia picha aina yaa kikosi hicho nilichoweka ambapo kimesheheni De Lima mfunga magoli, Toti mpiga mawe, Ronaldinho mchezea mpira na zidane mtoa assist mzuri halafu uwaweke hao watu wako wakina Messi na CR7 ambao wanacheza mpira kwa kujiangalia mafanikio binafsi pasipo timu, timu itachezaje.? Issue siyo kupanga tuu kikosi. Issue ni kuangalia balance ya timu. Timu ukichagua majina utashangaa na matokeo utakayopata. Unaikumbuka Brazil ya 2006 ilivyokuwa imejaa majina.? But mwisho wa siku waliishia kuwa humiliated. nilichopanga hapo ni aina ya wachezaji wasioingiliana majukumu, Messi na Ronnaldo hawatoweza stick na primary duties zao watakazokuwa assigned.

Na hapo kocha nampa Carlo Anceloti.
Mkuu mm nilizani kwamba mdau a nataka upange kikosi cha wakali ndani ya miaka hii kumi 05-15,, asa he ndani ya miaka hii kumi..

Zidane alikuaje (cz kastaafu 06)

Beckham alikuaje!? (Nadhan alipwelepweta sana... Huwez kumcopare na CR7)

Dihno sawa lakini MESSI NI HATARI SANA anajua kila kitu kuhusu kandanda.. Hadi kudaka
Hahahahahah
 
Uliiona shughuli ya zidane 2006 kule ujerumani.? Hakika asingempiga kichwa Materazi angechukua ballon dor.

Messi kwa Gaucho anasubiri, Gaucho mtu mwingine aisee. Messi na Cr7 wake ballon dor wanachukua huku mizengwe kibao.
 
Mkuu.. Yani mm nilivoelewa ni kwamba utaje watu ambao ni bora zaidi ndani ya miaka kumi

Je unataka kuniambia hakuna wa kuchukua nafasi ya zizzou ktk kipindi hiki!? Sikatai kama ukisema zizzou alikua hatari zaidi miaka ya nyuma zaidi... Ukizungumzia wakali toka 05-leo zizzou kacheza mwaka tu.
 
Back
Top Bottom