Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa hapo kwa Zlatan
asante kwa kumchagua Marco Senna...shujaa wa Euro 2008
1-Buffon
2-Cafu
3-R. Carlos
4-Desailly
5-Canavarro (Terry '60)
6-Viera (Makelele '45)
7-Pirlo (Seedorf '60)
8-Zidane
9-C. Ronaldo (Eto'o '45)
10-Ronaldinho
11-Messi
Refa: Pierluigi Collina
van da sir, alves,Baines, vidic, ramos,yaya toure,ronaldo,messi,dinho,inesta, zlatan..
Sub..
De gea, thiago silva, modric, bastan ,lam,rooney
yeye ndio anavyoamini hao aliowachagua ni zaidi ya akina messi
umeshindwa kuelewa swali, ni heri upige kimya
Mkuu una roho ngumu sana.. Yani toka 2005-2015, unampiga benchi messi, Cr7
1-Buffon
2-Cafu
3-R. Carlos
4-Desailly
5-Canavarro (Terry '60)
6-Viera (Makelele '45)
7-Pirlo (Seedorf '60)
8-Zidane
9-C. Ronaldo (Eto'o '45)
10-Ronaldinho
11-Messi
Refa: Pierluigi Collina
naikumbuka vizuri Villarreal ya Juan Pablo Sorin, Juan Roman Requelme, Diego Forlan...
Mkuu mm nilizani kwamba mdau a nataka upange kikosi cha wakali ndani ya miaka hii kumi 05-15,, asa he ndani ya miaka hii kumi..mkuu there it is, Ronaldinho in peak, messi hagusi kabisa moto wake. Na beckham nimempanga coz ni natural number 7 wakati CR7 siyo number 7 natural kwa sasa. Hivi ushapatia picha aina yaa kikosi hicho nilichoweka ambapo kimesheheni De Lima mfunga magoli, Toti mpiga mawe, Ronaldinho mchezea mpira na zidane mtoa assist mzuri halafu uwaweke hao watu wako wakina Messi na CR7 ambao wanacheza mpira kwa kujiangalia mafanikio binafsi pasipo timu, timu itachezaje.? Issue siyo kupanga tuu kikosi. Issue ni kuangalia balance ya timu. Timu ukichagua majina utashangaa na matokeo utakayopata. Unaikumbuka Brazil ya 2006 ilivyokuwa imejaa majina.? But mwisho wa siku waliishia kuwa humiliated. nilichopanga hapo ni aina ya wachezaji wasioingiliana majukumu, Messi na Ronnaldo hawatoweza stick na primary duties zao watakazokuwa assigned.
Na hapo kocha nampa Carlo Anceloti.
Lehmann ndio golikipa wako bora kwa miaka 10 iliyopita? hay a mkuu ni mtazamo wako
Mkuu mm nilizani kwamba mdau a nataka upange kikosi cha wakali ndani ya miaka hii kumi 05-15,, asa he ndani ya miaka hii kumi..
Zidane alikuaje (cz kastaafu 06)
Beckham alikuaje!? (Nadhan alipwelepweta sana... Huwez kumcopare na CR7)
Dihno sawa lakini MESSI NI HATARI SANA anajua kila kitu kuhusu kandanda.. Hadi kudaka
Hahahahahah
Mkuu.. Yani mm nilivoelewa ni kwamba utaje watu ambao ni bora zaidi ndani ya miaka kumiUliiona shughuli ya zidane 2006 kule ujerumani.? Hakika asingempiga kichwa Materazi angechukua ballon dor.
Messi kwa Gaucho anasubiri, Gaucho mtu mwingine aisee. Messi na Cr7 wake ballon dor wanachukua huku mizengwe kibao.