Kipi ni Kikosi Chako Bora Kwa Miaka 10 Iliyopita

Kipi ni Kikosi Chako Bora Kwa Miaka 10 Iliyopita

1-Buffon
2-Cafu
3-R. Carlos
4-Desailly
5-Canavarro (Terry '60)
6-Viera (Makelele '45)
7-Pirlo (Seedorf '60)
8-Zidane
9-C. Ronaldo (Eto'o '45)
10-Ronaldinho
11-Messi


Refa: Pierluigi Collina


kati ya hao uliowaoridhesha basi 6 wamecheza ac Milan
 
bila ubishi, dunia ilimtambua pale ila alikuwa anakamua sana na Villareal


hao wachezaji wa kuja na kusepa kama harufu ya ushuzi mi huwa siwatambui...

kaja kamkuta Uncle Pirlo na kaondoka kamuacha
 
Mkuu mm nilizani kwamba mdau a nataka upange kikosi cha wakali ndani ya miaka hii kumi 05-15,, asa he ndani ya miaka hii kumi..

Zidane alikuaje (cz kastaafu 06)

Beckham alikuaje!? (Nadhan alipwelepweta sana... Huwez kumcopare na CR7)

Dihno sawa lakini MESSI NI HATARI SANA anajua kila kitu kuhusu kandanda.. Hadi kudaka
Hahahahahah


ukianza kumzungumzia Messi basi utatumia karatasi moko tu....

ila ukija kwa nabii na mtume wa mwisho wa Soka muheshimiwa Ronaldinho Gaucho basi itakulazimu ujaze counter book pasipo kupiga mstari wa pambizo...
 
1.Buffon
2.lahm
3.maldin
4.Terry
5.Ramos
6.vierra
7.c.ronaldo
8.zidane
9.ronaldo
10.messi
11.ronaldinho
 
1.Buffon
2.lahm
3.maldin
4.Terry
5.Ramos
6.vierra
7.c.ronaldo
8.zidane
9.ronaldo
10.messi
11.ronaldinho


hongera na asante.
umefanikiwa kuorodhesha wachezaji wanne waliopata kukiputa AC Milan
 
1.iker casillas
2. danny alves
3. Ashley cole
4.john terry
5. puyol
6. Xabi alonso
7. Cr7
8. Xavi
9.Thierry henry
10. Wayne rooney
11. Lionel messi
 
1.iker casillas
2. danny alves
3. Ashley cole
4.john terry
5. puyol
6. Xabi alonso
7. Cr7
8. Xavi
9.Thierry henry
10. Wayne rooney
11. Lionel messi
Kikosi kibovu sana hata akina Alonso na Rooney wamo?!
 
hao wachezaji wa kuja na kusepa kama harufu ya ushuzi mi huwa siwatambui...

kaja kamkuta Uncle Pirlo na kaondoka kamuacha

ni mtazamo wako, uko huru. Hata hivyo hakuna mahali wamelinganishwa, majukumu na nafasi zao uwanjani zilikuwa tofauti.
 
Kwa miaka 10 iliyopita kumekuwa na vipaji vingi ambavyo vimekuja na kutesa katika soka letu la dunia ya leo.

Kwa mtazamo wako wewe ukiwa kama mdau wa soka ni wachezaji gani bora zaidi ambao wanatengeneza first eleven yako kwa miaka 10 iliyopita.

Kwangu mimi kikosi changu bora ni hiki,
Mfumo ni 4-3-3 ambapo kuna;
Iker Casillas
Lahm, Vidic, Ramos, Ashley Cole
Xavi, Schweinsteiger, Iniesta
Messi, Ronaldo, Thiery Henry.

Karibu mdau tutajie kikosi chako pia.

Ronaldo yupi wa zamni au wa sasa?
Na zizuu utamueka wapi?
 
1.iker casillas
2. danny alves
3. Ashley cole
4.john terry
5. puyol
6. Xabi alonso
7. Cr7
8. Xavi
9.Thierry henry
10. Wayne rooney
11. Lionel messi
Yule dihno wako hayumo ila messi ndni... Ila mbna kaka ako toress humkumbuki!?
 
Kwa miaka 10 iliyopita kumekuwa na vipaji vingi ambavyo vimekuja na kutesa katika soka letu la dunia ya leo.

Kwa mtazamo wako wewe ukiwa kama mdau wa soka ni wachezaji gani bora zaidi ambao wanatengeneza first eleven yako kwa miaka 10 iliyopita.

Kwangu mimi kikosi changu bora ni hiki,
Mfumo ni 4-3-3 ambapo kuna;
Iker Casillas
Lahm, Vidic, Ramos, Ashley Cole
Xavi, Schweinsteiger, Iniesta
Messi, Ronaldo, Thiery Henry.

Karibu mdau tutajie kikosi chako pia.

Kwa Kuwa yupo Thierry henry basi nmekipitisha.. Even though kuna baadhi hawausik ktk hicho kikosi. Ila henry mwsho Wa problems kwa miaka 10 a.k.a kwa muongo huu
 
Hiv mnaelewa nin ya miaka 10 iliyopita!? Jiulizen 2005 hao wakina lizarazu walikuwa ktk ubora!? De Lima alikuwa ktk form ya 96-2002?
 
Back
Top Bottom