Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Mambo ya kilimo cha matikiti, dogo acha "kusikiliza" ati fulani kafanya hivi kaweka pale na hivi na vile akapata faida miaka kadhaa tu. Kwa ground mambo ni tofauti SANA. ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO DOGO.Kwa mimi ningeanza na biashara. Na mpaka sahivi nina mpango huo. Nimeona juzi kuna mdau kaeleza namna alivyoweza kujenga lodge kwa milioni 110 na hesabu zinaonesha hela yake itakuwa imerudi baada ya miaka mitatu. Akiamua kujenga nyumba anajenga kwa kutumia faida ya biashara hivyo hatumii nguvu.
DuhMambo ya kilimo cha matikiti, dogo acha "kusikiliza" ati fulani kafanya hivi kaweka pale na hivi na vile akapata faida miaka kadhaa tu. Kwa ground mambo ni tofauti SANA. ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO DOGO.
I.e kuna lodge zimejengwa na kudoda
wapi hapo kwa 110MKwa mimi ningeanza na biashara. Na mpaka sahivi nina mpango huo. Nimeona juzi kuna mdau kaeleza namna alivyoweza kujenga lodge kwa milioni 110 na hesabu zinaonesha hela yake itakuwa imerudi baada ya miaka mitatu. Akiamua kujenga nyumba anajenga kwa kutumia faida ya biashara hivyo hatumii nguvu.