Kipi ni Kipindi bora cha burudani kwasasa kati ya Empire (EFM), The Switch (Wasafi FM) au XXL (Clouds FM)?

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Waungwana salam, kichwa cha habari kinajieleza,

Kwasasa nchini Tanzania ni kipindi gani bora cha burudani kati ya: 1. Empire cha EFM kinachoendeshwa na B dozen na Jonijo 2. The Switch cha Wasafi FM kinachoendeshwa na The Real Ommy, Ammy Gal na mshana au 3. XXL cha Clouds FM cha kina mchomvu mina Ally na Kennedy the Remedy?
 
Eeh Vinakuaje vikali wakati hata kujulikana havijulikani.....?
 
The Switch ndio habari ya mjini.

Watoto wa town wote wanawasha the Switch.
 
Empire kwa upande wangu. Ila hizo show zote bado hazijjaifikia iliyokuwa show time ile ya kina kidbwoy, mtoto wa mama sabuni na DJ John Lyatoo pale RFA.
NI MAONI YANGU.
Hakuji kutokea radio ilikuwa na vipindi vikali kama kiss fm enzi hizo mitaa yote station ilikuwa inasikilizwa na wajanja n hyo kiss fm ya zamani.
 
Hii stage nishaivuka ya kufatilia vipindi ivo

Enzi zangu kipindi hicho kuna DEIWAKA SHOW pale UHURU FM.

Kuna vitu vya kina Mr II enzi hizo anajiita II Proud

[emoji23][emoji23]

Nimekubali kila Zama na kitabu chake.


Vijana endeleeni kula burudani mda wenu ndo huu.
 
Kuna show zimepoa mzee sio XXL..huwa natupia earbuds zangu nakula vibe huku nikiendelea kuchakarika kutafuta ugali.
Kama umeanza kuisikiliza sasa, ila xxl imepoakwa sasa, kubali kataa
 
Empire kipindi kizuri mnoo ila kinaanza kuboa matangazo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…