Kipi ni Kipindi bora cha burudani kwasasa kati ya Empire (EFM), The Switch (Wasafi FM) au XXL (Clouds FM)?

Mkuu japo earphones zangu mbovu.Ila Empire bonge la show.
 
Empire kiko fresh sana bro kuliko Double XL imeshuka brand,,Sema Empire segments zake ndo za kinyonge,

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Sasa kipindi kinakuwaje kikali halafu segment za kinyonge?..Empire mimi kwangu bado nilitegemea waje na vitu vikali zaidi.

Brand imeshuka umepimaje?..Empire ina Sponsors wengi kuliko XXL?
 
These days vipindi vingi vya mchana vimekosa ubunifu, story zilezile, hautasikia utofauti zaidi ya majina ya Watangazaji.
 
Dah! Long time, enzi hizo yuko Seba Maganga. Jioni ni Kiss FM, pia Dr.Beat pale Clouds na ML Chris
 
Kile cha jabir kinaitwaje
 
Sasa kipindi kinakuwaje kikali halafu segment za kinyonge?..Empire mimi kwangu bado nilitegemea waje na vitu vikali zaidi.

Brand imeshuka umepimaje?..Empire ina Sponsors wengi kuliko XXL?
Empire ina sponsors wachache coz ndo inaanza bro,,ata mwaka haina..XXL ipo pale tangia 2007 cjui 2005,,enzi za Doctor beat kule..XXL chemistry siioni tena,,,Chemistry ya Twangala na Babaako ni laana ariff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…