BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Nimeangalia sana Video utotoni plus kuja kutazama sana TV ukubwani kidogo, now day aisee sijui kilinitokea nini, kwa kifupi huwa nashangaa sana wanao tazama TV, ni kitambo sana lavda nikute Baaa au Hotelini.Ipi ilikuwa sababu iliyokufanya ukichague kisimbuzi hicho na uachane na vingine?
Nilikuwa mtumiaji wa satelite dish isiyo ya kulipia, ukarabati wake unaelekea kunishinda, nina mpango wa kuhamia kwenye visimbuzi
Unataka kusema nini?Kwangu vipo vitatu, Mimi DStv mama watoto Azam, bekitatu yeye startime
Chukua startimes bado hujachelewaKati ya continental na andazi na chagua andazi ..... kuna siku taenda kumponda nalo dialo pale star TV. maana lime jaa vumbi tu uko store hili tuli pigwa wazi wazi
Mkuu, hivi channels za Afro music, trace mziki, sound city, maisha magic, tv E na wasafi tv zinapatikana kwenye hicho kifurushi au kwenye kinachofuata? Na kama ni kinachofuata, gharama yake ni Tsh ngapi?DStv ni rahisi jamani watu hawajui TU!! The lowest package ni 10,000 / ( elfu kumi TU) local chanel zoooote
Pia bbc, Aljazeera,discovery family,nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwangu vipo vitatu, Mimi DStv mama watoto Azam, bekitatu yeye startime