Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Katika mazingira fulani, hua panapotokea ukavu au kukauka kwa sehemu za siri wakati wa tendo la ndoa..
Je, usahihi na usalama wa afya ya tendo lenyewe ni kutumia mate au mafuta kulainisha sehemu hizo zilizokauka au kavu?
Na vipi mkaishia hapo kwa siku hiyo, mpaka tena wakati mwingine patakapokua na ute wa kutosha, kisha muendelee tena na tendo, kuna ugumu wowote ndugu zangu?
Na, ni aina gani ya mafuta ambayo ni salama zaidi kwa afya, na aina ipi ni hatari kwa mustakabali mwema wa afya ya via vya uzazi vya wahusika kwenye tendo lenyewe ?🐒