Kipi ni salama zaidi kutumika wakati wa ukavu katika tendo la kujamiiana

Katika mazingira fulani, hua panapotokea ukavu au kukauka kwa sehemu za siri wakati wa tendo la ndoa..

Je, usahihi na usalama wa afya ya tendo lenyewe ni kutumia mate au mafuta kulainisha sehemu hizo zilizokauka au kavu?

Na vipi mkaishia hapo kwa siku hiyo, mpaka tena wakati mwingine patakapokua na ute wa kutosha, kisha muendelee tena na tendo, kuna ugumu wowote ndugu zangu?

Na, ni aina gani ya mafuta ambayo ni salama zaidi kwa afya, na aina ipi ni hatari kwa mustakabali mwema wa afya ya via vya uzazi vya wahusika kwenye tendo lenyewe ?šŸ’

Hivi mzee baba, wewe ndiye kuna wakati uliandika utagombea ubunge?
 
lub zipo za kila jamani, mwambie na huyo babe wako mwambie anywe mabamia, anywe karafuuu, na apunguze stress za madeni na vicoba
dada mwingine mnyonge akihangaikia suluhu ya tatizo la kutoshika ujauzito,

alipitia vipimo vingi, lakini pia ilibainika ana mafuta machafu yaliyokusanyika na kuganda nje ya via vyake vya uzazi kwa ndani,

alipo ulizwa kulikoni,
alisema huenda ni kwasababu bwana wake hutumia mafuta ya mgando wakijamiiana...

na tangu hapo, binti yule mrembo chibonge alishauriwa yeye na bwanake wasitumie mate kwakua ni sumu zaidi, au mafuta ya aina yoyote wakati wa kujamiana,

sifahamu kama ilimsaidia kupata ujauzito, lakini huenda ilimsababishia tatizo jingine kwenye mfumo wa uzazi...

huo ni ushuhuda kidogo tu wa athari za kutumia mafuta kiholela kama kilainisshi wakati wa tendo šŸ’

nakutakia afya njema ya uzazi šŸ’
 
si ndo maaan nikampa option zingine za kunywa šŸ˜‚šŸ˜‚

shida ni dada au shida ni mwanaume

hakikisheni mnawaandaa wake zenu mpaka wawe tyari sasa nyie kwakua mnataka tu kuweka hamjali kama mtu yuko tayari kwa tendo au la mkikuta hayuko tayar ndo mimate shwaaa wooi
 
Hivi ni kwanini mwanamke ukianza nae mahusiano ile mwanzo mwanzo ute hua unachuruzika wenyewe mpaka kufikia kulowesha ch*pi, lakini kadri siku zinavyoenda hali ya ukavu na ukame kunako via vya uzazi inashika hatamu mpaka kulazimika kuanza kufanya kilimo cha umwagiliaji?

Au ndio mabadiliko ya tabianchi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee
 
Nadhani binadamu tulivyoumbwa huwa tunataka kubadili ladha, tunachokana na kukinaiana hata kama tunajificha na kuambiana tunayotaka kusikia.
Namimi hicho hua ndio kipimo changu cha kujua kama mwanamke bado anani feel. Ukisha anza kuona unalazimika kutumia vilainishi ujue hapo mjomba unafosi mambo hakuna mapenzi tena unapewa basi tu ili uendelee kuchunwa.
 
Kabisa, au bora liende sababu ni ndoa. Sasa unakuta hadi siku ya ovulation hola mpaka mimate.

Ila usiache, atajua mwenyewe we paka maliza hamu yako.
 
Katika mazingira fulani, hua panapotokea ukavu au kukauka kwa sehemu za siri wakati wa tendo la ndoa..

Je, usahihi na usalama wa afya ya tendo lenyewe ni kutumia mate au mafuta kulainisha sehemu hizo zilizokauka au kavu?

Na vipi mkaishia hapo kwa siku hiyo, mpaka tena wakati mwingine patakapokua na ute wa kutosha, kisha muendelee tena na tendo, kuna ugumu wowote ndugu zangu?

Na, ni aina gani ya mafuta ambayo ni salama zaidi kwa afya, na aina ipi ni hatari kwa mustakabali mwema wa afya ya via vya uzazi vya wahusika kwenye tendo lenyewe ?šŸ’

KY Jelly itumie
 
Back
Top Bottom