Ni kweli kuwa ute ni sign mojawapo kuwa feelings ziko juu yako, however akiwa mkavu haimaanishi kuwa "hakupendi tena". Mwanamke kwenye sex ameumbwa kimaajabu na wala sio kosa lake, a little upset everything goes completely dry, sasa jiulize kwenye maisha upset ziko ngapi? Ikiwa mna bond nzuri, hapa ndio unakuja ule usemi wa sex ni kitu cha muhimu ila sio kitu cha pekee kwenye mahusiano.
Mtu kukupenda ni pamoja na kufanya sex kwa ajili yako ikiwa hakutozi ushuru, anafanya ili wewe ufurahi hata kama yeye anapoteza.. hivyo anavyokulilia ndivyo inavyotakiwa ili wewe uenjoy, sasa hapo nunua lube ili yeye akijiliza halafu mkavu weka lube mambo yako yakuendee. Its okay to "use" your spouse sometimes... ile 50/50 haiko practical kihivyoo 😅
Ikiwa utaamua kubadilisha wanawake kwa kigezo hiko, utamaliza dunia mkuu..