Kipi unahitaji kufahamu kuhusu GPS trackers? Karibu kwa maswali

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
3,381
Reaction score
9,744
Kipi unahitaji kufahamu haswa?, Uliza swali lako na nitalijibu hapa kwa kina.
 
1. Inaonesha real time location kupitia simu yako.

2. Inaonesha mizunguko yote ya chombo chako.(ndani ya siku 180)

3. Itakuonesha wapi kilisimama na kwa muda gani.

4. Itakutumia notification dereva akizidisha speed uliyoset au kama anaendesha rafu.

5. Itakuonesha Kilometa ulizotembea kila siku(ndani ya siku 180)

6. Itakuonesha travel report na parking report.

7. Ina fence alarm, utapata notification chombo kikiingia au kutoka eneo uliloset.

8. Hata ukifunga kwenye vyombo vingi, vyote utaviona kwenye ramani moja kupitia simu yako au computer.

9. Inatumia laini ya simu. Vocha ya Tsh. 500 inaenda zaidi ya miezi 6.

10. Haina malipo ya kila mwezi au kila mwaka wala sitakucharge malipo hayo.

Kitu kizuri zaidi ukija ofisini wire za chombo chako zitaunganishwa kwa pin na shrink tubes na zitafanana na wires ambazo zimekuja na chombo chako.(hatutumii sealtape).

Ofisi ipo Sinza Kijiweni, Dar es salaam

Bei ni Tsh. 150,000/= tu.

Nipigie
0621221606
 
How is it possible for someone to track a lost mobile phone via GPS tracker by using emei number?
 
Ile option ya kuzima gari kama mtu kaliiba/kuchukua bila idnini yako mnayo?
 
Kitu kizuri zaidi ukija ofisini wire za chombo chako zitaunganishwa kwa pin na shrink tubes na zitafanana na wires ambazo zimekuja na chombo chako.(hatutumii sealtape)...
Nimependa hii, yule alinifungia aliweka ma-cello tape hata mwizi akiangalia kwa haraka wiring anajua chombo kimeungwa na mfumo wa tracking. Hongereni kwa hili.
 
MKUU UMEKUMBUKA UZI WAKO HUU WA MWAKA JANA? JE ULISHATATUA CHANGAMOTO ULIZOZIAINISHA HAPA

"Kumekuwa na cases nyingi za watu kuibiwa vyombo vya moto na GPS trackers kuondolewa, mpaka kupelekea watu kuona kama kufunga GPS trackers hakuna umaana wowote.

Hii thread sitazungumzia kabisa detectors na jammers km watu wengi wanavyodhani kuwa wezi wanakuwa na tools hizo ambazo zinawasaidia kudetect mahali GPS tracker ilipokuwa installed.

Nitaeleza experience yangu kuhusu kile nilichokiona kwenye magari ya watu na ambacho kwa namna nyingine nimeona ni kama hakipo sawa.

Labda kwa kifupi tu niseme, nilichokiona ni kwamba ufungaji wa mifumo ya ulinzi mathalani GPS trackers na Alarms umekuwa ni wa kufanana, its like mwalimu/walimu wanaofundisha ufungaji wa mifumo hii wanafundisha kitu cha aina moja au wamewaaminisha wanafunzi wao kwamba GPS trackers lazima ifungwe kwa mtindo fulani.

Its sad kwamba gari nyingi GPS trackers/Alarms zimefungwa chini ya usukani, mathalani gari za kijapani ambazo siyo push to start. Mtu anafunga hiyo sehemu akiamini kwamba atatumia waya wa switch on kuzimia gari. Lakini kiuhalisia gari inazo waya nyingi sana ambazo ukizikata gari inazima. Hivyo kufunga maeneo tofauti tofauti inawezana.

Kwanza hili jambo la mtu kwenda kusomea kufunga GPS au Alarm halijakaa poa, huenda ndio matokeo ya huku kufanana. Its better kufunga GPS kwa mtu mwenye uelewa na umeme wa chombo husika. Kwa sababu huyu anakuwa na options.

Nowadays GPS trackers are tiny, kwa mfano kwenye magari sehemu za kuficha ni nyingi mpaka ndani ya modules huko na electronic devices zingine kama radio n.k.

Kutokana na hicho nilichokiona imenipelekea niamini kwamba ufungaji wa GPS trackers wa aina hiyo umepelekea hata wezi kukariri kwamba zinafungwa wapi hivyo kuwa rahisi kuzitoa wakiiba vyombo hivyo.

Sisemi kwamba hakuna njia nyingine inayotumika kuzitoa hapana zipo pia njia zingine lakini hii ya ufungaji wa kufanana tena mahali peupe kama chini ya usukani imepelekea utoaji uwe rahisi sana.

Pia kitu kingine, GPS haizuii gari kuibiwa. Ila Inaweza kukusaidia kulipata baada ya kuibiwa. Kama unataka lisiibiwe funga Kill switch iwe ya wireless au manual. At least mtu anaweza akashindwa kuliwasha na kuondoka nalo labda alivute.

Ni hayo tu kwa leo"
 
Kwani mkuu hakuna Gps ndogo ambayo mtu unaweza ukaweka hata mfukoni ukatembea nayo?
au mpaka ifanyiwe wireling ndipo ifanye kazi!
 
How is it possible for someone to track a lost mobile phone via GPS tracker by using emei number?
Mambo ya mobile phone ni mambo ya TCRA na polisi,

Mimi nazungumzia hizi GPS aftermarket tunazofunga kwenye magari, pikipiki, n. K.
 
Nimependa hii, yule alinifungia aliweka ma-cello tape hata mwizi akiangalia kwa haraka wiring anajua chombo kimeungwa na mfumo wa tracking. Hongereni kwa hili.
Shukrani sana.
Huwa tunakuwa na huduma pia kama mtu anaona wite zake zimeungwa ungwa sana anakuja tunaunga na pin na nje tunavisha hizo shrink tubes. Angalau zinakaakwa namna ambayo haziwezi kuleta shida.
 
Natafuta zisizotumia SIM card....ili nikiwa nje ya nchi nisipate gharama ya roaming.....
Upo?
 
Nahitaji zinazotumia iridium satellite......
Kama ipo nijuze.
 
MKUU UMEKUMBUKA UZI WAKO HUU WA MWAKA JANA? JE ULISHATATUA CHANGAMOTO ULIZOZIAINISHA HAPA

"Kumekuwa na cases nyingi za watu kuibiwa vyombo vya moto na GPS trackers kuondolewa, mpaka kupelekea watu kuona kama kufunga GPS trackers hakuna umaana wowote.

Hii thread sitazungumzia kabisa detectors na jammers km watu wengi wanavyodhani kuwa wezi wanakuwa na tools hizo ambazo zinawasaidia kudetect mahali GPS tracker ilipokuwa installed.

Nitaeleza experience yangu kuhusu kile nilichokiona kwenye magari ya watu na ambacho kwa namna nyingine nimeona ni kama hakipo sawa.

Labda kwa kifupi tu niseme, nilichokiona ni kwamba ufungaji wa mifumo ya ulinzi mathalani GPS trackers na Alarms umekuwa ni wa kufanana, its like mwalimu/walimu wanaofundisha ufungaji wa mifumo hii wanafundisha kitu cha aina moja au wamewaaminisha wanafunzi wao kwamba GPS trackers lazima ifungwe kwa mtindo fulani.

Its sad kwamba gari nyingi GPS trackers/Alarms zimefungwa chini ya usukani, mathalani gari za kijapani ambazo siyo push to start. Mtu anafunga hiyo sehemu akiamini kwamba atatumia waya wa switch on kuzimia gari. Lakini kiuhalisia gari inazo waya nyingi sana ambazo ukizikata gari inazima. Hivyo kufunga maeneo tofauti tofauti inawezana.

Kwanza hili jambo la mtu kwenda kusomea kufunga GPS au Alarm halijakaa poa, huenda ndio matokeo ya huku kufanana. Its better kufunga GPS kwa mtu mwenye uelewa na umeme wa chombo husika. Kwa sababu huyu anakuwa na options.

Nowadays GPS trackers are tiny, kwa mfano kwenye magari sehemu za kuficha ni nyingi mpaka ndani ya modules huko na electronic devices zingine kama radio n.k.

Kutokana na hicho nilichokiona imenipelekea niamini kwamba ufungaji wa GPS trackers wa aina hiyo umepelekea hata wezi kukariri kwamba zinafungwa wapi hivyo kuwa rahisi kuzitoa wakiiba vyombo hivyo.

Sisemi kwamba hakuna njia nyingine inayotumika kuzitoa hapana zipo pia njia zingine lakini hii ya ufungaji wa kufanana tena mahali peupe kama chini ya usukani imepelekea utoaji uwe rahisi sana.

Pia kitu kingine, GPS haizuii gari kuibiwa. Ila Inaweza kukusaidia kulipata baada ya kuibiwa. Kama unataka lisiibiwe funga Kill switch iwe ya wireless au manual. At least mtu anaweza akashindwa kuliwasha na kuondoka nalo labda alivute.

Ni hayo tu kwa leo"
Changamoto bado zipo mkuu ila tu kama nilivyosema mwanzo mtu asifunge GPS kwa matazamio ya kwamba ili gari gari yake isiibiwe, funga kwa ajili ya kufatilia gari lako,

Ikitokea limeibiwa na aliyekuibia uelewa wake ni mdogo, hapo unaweza kulipata.

Pia watu yale mambo ya kufunga GPS trackers chini ya usukani yamekuwa common hivyo tunashauri kufunga maeneo mengine, gari ina maeneo mengi sana ya kufunga GPS trackers.

kama unataka chombo chako kisiibiwe funga kill switch, zipo kill switcha mbazo utafungiwa na fundi na zipo ambazo utajifungia mwenyewe. Angalau hii njia ipo effective. Hakuna mtu atawasha gari lako aondoke nalo.
 
1. Inaonesha real time location kupitia simu yako.

2. Inaonesha mizunguko yote ya chombo chako.(ndani ya siku 180)

3. Itakuonesha wapi kilisimama na kwa muda gani.

4. Itakutumia notification dereva akizidisha speed uliyoset au kama anaendesha rafu.

5. Itakuonesha Kilometa ulizotembea kila siku(ndani ya siku 180)

6. Itakuonesha travel report na parking report.

7. Ina fence alarm, utapata notification chombo kikiingia au kutoka eneo uliloset.

8. Hata ukifunga kwenye vyombo vingi, vyote utaviona kwenye ramani moja kupitia simu yako au computer.

9. Inatumia laini ya simu. Vocha ya Tsh. 500 inaenda zaidi ya miezi 6.

10. Haina malipo ya kila mwezi au kila mwaka wala sitakucharge malipo hayo.

Kitu kizuri zaidi ukija ofisini wire za chombo chako zitaunganishwa kwa pin na shrink tubes na zitafanana na wires ambazo zimekuja na chombo chako.(hatutumii sealtape).

Ofisi ipo Sinza Kijiweni, Dar es salaam

Bei ni Tsh. 150,000/= tu.

Nipigie
0621221606
Wewe ni mzalendo haswa. Bei na maelekezo zinaeleweka.
 
Kwa waliopo Mikoani eg. Arusha wanapataje hiyo huduma?
 
Back
Top Bottom