Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?

Jiulize kwanini unanyimwa wakati mwanzo alikuwa anakupa bila shida kwa vyovyote kutakuwa na shida kati yenu nyie wawili
 
Yaliwahi kunikuta lakini hakuwahi mke ni GF wa muda mrefu, alianza hiyo tabia, mwanzoni nikafikiri utani, baada ya muda akili ikarudi nikamwelewa, nikawa na bahati nikapata mchepuko umenyooka uko vizuri kuliko maelezo, siku zikaenda kanyamaza tuu na kiburi chake anaona ananikomoa kumbe hajui Niko vizuri, baadaye nikaanza kulala huko huko Kwa mchepuko akashituka akaanza kurudi, lakini tayari ilikuwa too late na wala sikuogopa kumwambia Mimi na yeye basi nimepata mwingine na nikakata kulipa bills zote na kuanza kurudi muda ninaotaka na kutotokea simu zake, hakuamini lakini ndivyo ilivyoisha na sikuwahi kujuta
 
Akikubania, tafuta Siku mpitishe sehem yenye malaya, aone ulivyo easy kupala K mtaani
 
Dume la Simba majike sita dume la Swala majike inshirini n.k.
Ndivo muumba alivoumba ! Sasa ngang''ania huyo mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…