othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Ndio iwe mwezi mzima hata kama ni hisia?Ungeeleza sababu za mkeo kukunyima uchi ili tushauri vizuri zaidi.
Kumbuka tendo la ndoa linahusu hisia za mapenzi zaidi sio kulazimishana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio iwe mwezi mzima hata kama ni hisia?Ungeeleza sababu za mkeo kukunyima uchi ili tushauri vizuri zaidi.
Kumbuka tendo la ndoa linahusu hisia za mapenzi zaidi sio kulazimishana
Ndio inawezekana.Ndio iwe mwezi mzima hata kama ni hisia?
Kakosa nini!?Mama mkwe KUM..NIN..ZAKO
Jiulize kwanini unanyimwa wakati mwanzo alikuwa anakupa bila shida kwa vyovyote kutakuwa na shida kati yenu nyie wawiliWanawake ni wajinga sana coz kumbania mumeo uchi ni kosa kubwa sana mnafanya. Mwanaume hanyimwi uchi bora umnyime chakula na kitu kingine chochote lakini sio uchi. Ukimnyima wewe wenzio watampa tu na ndio chanzo kikubwa cha migogoro ya ndoa. Badilikeni aisee la sivyo talaka hazitakaa ziishe
Nimekumis tu lamamaUjifunike shuka ulale
NakaziaDawa ya mke ni mwanamke mwenzie.
Unajilia huko nje unatosheka, ukirudi home unakuwa friendly tuu, ila kwa mambo ya unyumba unauchuna kabisaaa
Mkibadilisha majina muwe mnatoa taarifa, mnatupa shida kuwatambuaNimekumis tu lamama
Daah mim mgeni ujueMkibadilisha majina muwe mnatoa taarifa, mnatupa shida kuwatambua
Si Saad30 wewe umebadili jina mfyuuu 😂😂😂Daah mim mgeni ujue
Niambie weekend hii unataka ukale wapi lunch ndani ya hilo Jiji la Daslam?Si Saad30 wewe umebadili jina mfyuuu 😂😂😂
Kalambezi nimemiss sea food 🤭Niambie weekend hii unataka ukale wapi lunch ndani ya hilo Jiji la Daslam?
Pamoja Sana mkali nakuona fastaKalambezi nimemiss sea food 🤭