Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
mkeo anahitaji tuition ya matumizi ya dining roomDining room! Yan nawish isingekuepo maana uwa nalia mm tu chakula hapo! Wengne vyumban mara sebuleni mara barazani hata wageni wakija chakula wanapelekewa sebuleni[emoji23]
Kusalia chumbani ni sawa lakini muda mwingine Huwa inakuwa kero kwa mwingine hasa unapoamka usiku kwa ajili ya maombiHapo kwenye chumba cha maombi huwezi kusalia chumbani kwako mkuu?
Je vyoo vyote umeviwezesha kwa matumizi, ni jukumu la familia kuangalia kama vinatumika salama hasa vya watotoNilichukua ule usemi usichukulie poa nyumba ni choo!
So nyumba yangu ya vyumba 4 vya kulala kila chumba niliweka self contened choo Ndani!
Lakini choo tunayotumia ni Moja tu master, na ya public, hizo nyingine natamani kuziondoa
ukiwa na uwezo jenga nyumba ndogo ndogo , moja ya kwako na mkeo, ya pili watoto na tatu wageni ukizipanga zinapendeza na zinapunguza gharama, mimi mwenyewe sipendi nguo , sijui nini chumbaniKuwa na Chumba kidogo kwa ajili ya mabegi,makabati ya nguo ili Chumba Cha kulala kiwe na kitanda Kochi na meza ndogo tuu..
Nyoosha maelezo huna uwezo wa kuvitumia ndio nini,. au unamaanisha huna familiaSivitumiii vipo kama pambo kifupi hatuna uwezo wa kutumia nyumba nzima
WekaHapa nina ka raman najishauri niweke stoo au niipotezee
Stoo ni muhimu piaHapa nina ka raman najishauri niweke stoo au niipotezee