Kipi unatamani kingekuwepo kwenye nyumba yako na kipi umegundua hakina mahitaji ya lazima lakini unacho?

Kipi unatamani kingekuwepo kwenye nyumba yako na kipi umegundua hakina mahitaji ya lazima lakini unacho?

napenda sana idea ya open livingroom n kitchen ila nawaza kwa vyombo vyetu vya kibongo sufuria zinatoka point A mpk Z pataonekanaje
IMG_20221130_084844.jpg
 
Hapo kwenye chumba cha maombi huwezi kusalia chumbani kwako mkuu?
Kusalia chumbani ni sawa lakini muda mwingine Huwa inakuwa kero kwa mwingine hasa unapoamka usiku kwa ajili ya maombi
 
Mimi naona ukiwa na choo kila chumba nayo ni nzuri..lakini kama hujakijenga vizuri haina maana ..maana wengi wanashindwa kuvijenga...choo nacho hadi kikamilike ni gharama saana..bila tyles nzuri,sanitary nzuri lazima hakuna atakayekipenda
 
Nilichukua ule usemi usichukulie poa nyumba ni choo!

So nyumba yangu ya vyumba 4 vya kulala kila chumba niliweka self contened choo Ndani!

Lakini choo tunayotumia ni Moja tu master, na ya public, hizo nyingine natamani kuziondoa
Je vyoo vyote umeviwezesha kwa matumizi, ni jukumu la familia kuangalia kama vinatumika salama hasa vya watoto
 
Back
Top Bottom