Kipigo cha 5 mfululizo dhidi ya Simba kinatoa majibu Yanga ni timu bora kwa sasa na sio vinginevyo!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,953
Reaction score
2,536
Ni ngumu sana kutegemea propaganda kukuvusha badala ya kufanya usajili Bora na makini,

Ni ngumu sana kutegemea waandishi machawa kukufanyia promo kwamba timu yako ni Bora wakati wanakupoteza!

Na auwezi kuukwepa ukweli kwamba yanga ni Bora dhidi yako kwasababu amakupiga mechi 5 mfululizo Tena kwa performance Bora na yenye swaga!

Leo hii tumeona mechi ya wavulana na wanaume,,mechi ya quality kubwa dhidi ya quality ndogo,,
Sio mpanzu, kibu Wala ahou walioonekana kufanya kitu chanya Leo zaidi ya chenga twawala na kucheza na majukwaa!

Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

Simba nawaambia msipofanya usajili wa maana yanga ataendelea kuwashindilia mpaka kiama,,tunapowaambiaga amjawa na timu ya kushindana na yanga uwa mnashupaza shingo sasa hii ni aibu kupigwa mechi 5 mfululizo🤣

FB_IMG_1750867779887.jpg
 
View attachment 3382898
Huu ubora muuonyeshe CAFCL sio mnaishia makundi
 
Simba nawaambia msipofanya usajili wa maana yanga ataendelea kuwashindilia mpaka kiama,,tunapowaambiaga amjawa na timu ya kushindana na yanga uwa mnashupaza shingo sasa hii ni aibu kupigwa mechi 5 mfululizo[emoji1787]

View attachment 3382898
Hapana mkuu team ya simba kwa mda mrefu wamekuwa hawawajibiki ipasavyo ni kweli inawezekana yanga ina quality kushinda simba lakini fighting spirit ya yanga ipo kila derby kuliko simba kuna kipindi simba ipo imara na bora ila yanga walikuwa wanapata matokeo mazuri dhidi ya simba.

Kwa mfano leo rudi kaangalie lile goal la 2 la simba 3 players from yanga versus 5 player wa simba lakini mtu kachomoka kafunga huku wachezaji wa simba wakiwa wamesimama wanaangalia kama mashabiki wanavyoangalia.
 
Yanga wanatuzidi kwa kujituma .. especially kwenye mechi dhidi ya Simba
 
Kwa uliyoandika
Hakika basi ni kweli kabisaaa aiseee

💛💛💛💚💛💚💛💚💛💛💛
 
Leo hakukuwa na Mpanzu, sijui Budo! Sijui KibuD!! Yaani wahuni walikuwa wanakukaba tu kwenye njia.

Binafsi nimefarijika sana kuona huyo kocha wa sasa wa Yanga anampa nafasi ya kutosha Duke Abuya kuanza kikosi cha kwanza. Mwamba sana yule jamaa pale kati. Ukimchanganya na Aucho + Mudathir Yahya Abbas!! Aisee viungo wa timu pinzani lazima wapoteane.
 
Kapombe alidhani anacheza na ken gold akaamua kuomba maji ya kunywa akiwa kalambishwa sakafu🤣🤣🤣
 
Attachments

  • FB_IMG_1750878499220.jpg
    FB_IMG_1750878499220.jpg
    87.2 KB · Views: 49
Mbumbumbu pro max,,kwa timu yenu hii mkacheze caf champions league msimu ujao tuone vichekesho
Kwani ndio itakuwa mara ya kwanza kucheza? Nyie wenye timu kama Liverpool mmefika wapi huko cafcl
 
Back
Top Bottom