Ukija kwenye mashindano ya caf simba ni bora kuliko yanga,Kwa hiyo maana yako nyie ni bora au wewe huna akili na huoni?
Ukija kwenye mashindano ya caf simba ni bora kuliko yanga,Kwa hiyo maana yako nyie ni bora au wewe huna akili na huoni?
Hahaha! Sahihi mkuu..Kapombe alidhani anacheza na ken gold akaamua kuomba maji ya kunywa akiwa kalambishwa sakafu
Ya mwishoHivi Yanga ni ya ngapi kwenye rank za CAF?
Mna kombe au rekodi gani kuizidi Yanga huko CAF?Ukija kwenye mashindano ya caf simba ni bora kuliko yanga,
Miraji anasema Yanga inaidharau sana Simba.
View: https://www.youtube.com/watch?v=IPvWCP-1kl0&t=1167s
Hahahahaha, huu ujinga ndio unawatia watu umbumbumbu na kuonekana kweli mbumbumbuHivi Yanga ni ya ngapi kwenye rank za CAF?
Ubinafsi pia wa Mzize nafasi aliyopaswa kumpa Pacome pia kuna move nyingine ambayo mzize alipiga cross... kuna mchezaji simkumbuki nyuma yake kulikuwa na strikers wawili wa yanga ndani ya box akashindwa kuwapa hata kwa kisigino na badala yake akarudisha nyumaIla simba wamejitahidi, mim sikutegemea kama watafungwa goli 2 tu
Na kuhairishwa kwa Me 8/03/2025 ilikuwa ni juhudi za viongozi wa Tiefuefu na sirikali kuiokoa Simba na kipigo. Na pale panapoonekana Mnyama kashinda ujue refa na viongozi wapo.Ni ngumu sana kutegemea propaganda kukuvusha badala ya kufanya usajili Bora na makini,
Ni ngumu sana kutegemea waandishi machawa kukufanyia promo kwamba timu yako ni Bora wakati wanakupoteza!
Na auwezi kuukwepa ukweli kwamba yanga ni Bora dhidi yako kwasababu amakupiga mechi 5 mfululizo Tena kwa performance Bora na yenye swaga!
Leo hii tumeona mechi ya wavulana na wanaume,,mechi ya quality kubwa dhidi ya quality ndogo,,
Sio mpanzu, kibu Wala ahou walioonekana kufanya kitu chanya Leo zaidi ya chenga twawala na kucheza na majukwaa!
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa
Simba nawaambia msipofanya usajili wa maana yanga ataendelea kuwashindilia mpaka kiama,,tunapowaambiaga amjawa na timu ya kushindana na yanga uwa mnashupaza shingo sasa hii ni aibu kupigwa mechi 5 mfululizo🤣
View attachment 3382898
Mpaka pale Simba mtakapoacha kununua marefa ndipo mtakapojua bora wenu,hata darbi ikihamishiwa Sout Africa mtapigwa tuHapana mkuu team ya simba kwa mda mrefu wamekuwa hawawajibiki ipasavyo ni kweli inawezekana yanga ina quality kushinda simba lakini fighting spirit ya yanga ipo kila derby kuliko simba kuna kipindi simba ipo imara na bora ila yanga walikuwa wanapata matokeo mazuri dhidi ya simba.
Kwa mfano leo rudi kaangalie lile goal la 2 la simba 3 players from yanga versus 5 player wa simba lakini mtu kachomoka kafunga huku wachezaji wa simba wakiwa wamesimama wanaangalia kama mashabiki wanavyoangalia.
BaasiYanga wanatuzidi kwa kujituma .. especially kwenye mechi dhidi ya Simba
Kuwa na huruma MkuuUbinafsi pia wa Mzize nafasi aliyopaswa kumpa Pacome pia kuna move nyingine ambayo mzize alipiga cross... kuna mchezaji simkumbuki nyuma yake kulikuwa na strikers wawili wa yanga ndani ya box akashindwa kuwapa hata kwa kisigino na badala yake akarudisha nyuma
Kila mtu ana mkubwa wake umeona waarabu wameshindwa kuingia 16 bora hiyo kawaida na Mamelodi wamekutana na wakubwa....Huu ubora muuonyeshe CAFCL sio mnaishia makundi
Kiaje yani??,mlikuwa shirikisho sisi tulikuwa club bingwa??, au unaongelea ubora gani??Ukija kwenye mashindano ya caf simba ni bora kuliko yanga,
Kweli kabisa mkuu!!haswaaa huyo number 1 juu,wanamuamini sana vile ni jamaa wa Mfumo lakini bure kabisaWatu wanaiidanganya simba ni hawa
1.Cresteuis Magori
2.Abdalah Muhene
3.Murtaza Mangungu
Hao wanatumika na familia ya Tajiri
Ndiomaana kwenye rank za caf yanga wa5 simba 12 si ndio?Kiaje yani??,mlikuwa shirikisho sisi tulikuwa club bingwa??, au unaongelea ubora gani??
KATI YA YNGA NA SIMBA TIMU GANI BORA??
Jibu hilo swali kwa neno moja tuu