Na nguvu za kuongea anazo basi ni chaliGENTAMYCINE Yanga Bingwa!
Huu ubora muuonyeshe CAFCL sio mnaishia makundiNi ngumu sana kutegemea propaganda kukuvusha badala ya kufanya usajili Bora na makini,
Ni ngumu sana kutegemea waandishi machawa kukufanyia promo kwamba timu yako ni Bora wakati wanakupoteza!
Na auwezi kuukwepa ukweli kwamba yanga ni Bora dhidi yako kwasababu amakupiga mechi 5 mfululizo Tena kwa performance Bora na yenye swaga!
Leo hii tumeona mechi ya wavulana na wanaume,,mechi ya quality kubwa dhidi ya quality ndogo,,
Sio mpanzu, kibu Wala ahou walioonekana kufanya kitu chanya Leo zaidi ya chenga twawala na kucheza na majukwaa!
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa
Simba nawaambia msipofanya usajili wa maana yanga ataendelea kuwashindilia mpaka kiama,,tunapowaambiaga amjawa na timu ya kushindana na yanga uwa mnashupaza shingo sasa hii ni aibu kupigwa mechi 5 mfululizoπ€£
View attachment 3382898
Hapana mkuu team ya simba kwa mda mrefu wamekuwa hawawajibiki ipasavyo ni kweli inawezekana yanga ina quality kushinda simba lakini fighting spirit ya yanga ipo kila derby kuliko simba kuna kipindi simba ipo imara na bora ila yanga walikuwa wanapata matokeo mazuri dhidi ya simba.Ni ngumu sana kutegemea propaganda kukuvusha badala ya kufanya usajili Bora na makini,
Ni ngumu sana kutegemea waandishi machawa kukufanyia promo kwamba timu yako ni Bora wakati wanakupoteza!
Na auwezi kuukwepa ukweli kwamba yanga ni Bora dhidi yako kwasababu amakupiga mechi 5 mfululizo Tena kwa performance Bora na yenye swaga!
Leo hii tumeona mechi ya wavulana na wanaume,,mechi ya quality kubwa dhidi ya quality ndogo,,
Sio mpanzu, kibu Wala ahou walioonekana kufanya kitu chanya Leo zaidi ya chenga twawala na kucheza na majukwaa!
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa
Simba nawaambia msipofanya usajili wa maana yanga ataendelea kuwashindilia mpaka kiama,,tunapowaambiaga amjawa na timu ya kushindana na yanga uwa mnashupaza shingo sasa hii ni aibu kupigwa mechi 5 mfululizo[emoji1787]
View attachment 3382898
Kwa hiyo maana yako nyie ni bora au wewe huna akili na huoni?Huu ubora muuonyeshe CAFCL sio mnaishia makundi
Mbumbumbu pro max,,kwa timu yenu hii mkacheze caf champions league msimu ujao tuone vichekeshoHuu ubora muuonyeshe CAFCL sio mnaishia makundi
Kwani ndio itakuwa mara ya kwanza kucheza? Nyie wenye timu kama Liverpool mmefika wapi huko cafclMbumbumbu pro max,,kwa timu yenu hii mkacheze caf champions league msimu ujao tuone vichekesho