Kipigo cha leoTayari Netanyahu katoa mlio

Kwele
Ndio shida ya kubishana na lgbtq+ hata kuelewa haelewi
Papa kashawaharibu ndio tatizo lilipoanzia
 
Hili li Netanyahoo linalialia tu mda huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
⚠️BREAKING NEWS⚠️

Iran and Russia supply Hezbollah with the latest missiles and rockets against Israel. Otherwise, it s a small resistance group in front of us.
 

Attachments

  • IMG_20240707_225051.jpg
    130.3 KB · Views: 1
Hili li Netanyahoo linalilia tu mda huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
⚠️BREAKING NEWS⚠️

Iran and Russia supply Hezbollah with the latest missiles and rockets against Israel. Otherwise, it s a small resistance group in front of us.
Israhell bora antibalaka wanajiweza yaani
Sasa hata wao si wanapewa silaha na west wote
 
Waarabu koko wameanza vitisho kama kawaida. Hao magaidi wa Hezbollah wanajipanga kukimbilia kujificha kwa wanawake na watoto kama ilivyo ada lakini hamna namna kwa sababu vita havina macho wakufa itabidi wafe tu
Hatimaye wanamgambo wa Israeli toka Kilwa Masoko mmetoka kwenye mapango πŸ˜‚πŸ˜…
 
Ka video ka uharibifu kako wapi sasa waungwana
 
Siku sio nyingi utasikia kilio ety Israel wanauwa wanawake na watoto πŸ˜‚
Hapo zinashambuliwa kambi za kijeshi wala si makazi ya raia.

Ila ukumbuke Hizbullah nao wamesema vita yao na israel haitafuata sheria za kivita. Israel ikiua raia na wao wataua raia. Kipimo kilekile atakachowapimia Israel nao hicho hicho watampimia. Na mbaya zaidi ni majirani wanao share mpaka.

Israel ikiingia vita na Hizbullah ikubali kwao nako pia pataharibika. Wanafahamu hili ndiyo maana wanasita kuvamia mazima.
 
Inapendeza
 
Siku sio nyingi utasikia kilio ety Israel wanauwa wanawake na watoto πŸ˜‚
dogo usitie hofu kwa Hezbullah safari hi, we tega masikio Israel ndio atalalamika watoto wake na wanawake wanauliwa na Hezbollah safari hi.

Sababu Nasurlah kasema safari hi hatutafata sheria za vita.

Sababu Israel yeye huwa hata afanye genocide husikii anahukumiwa.

Hezbullah huo mchezo wa kufata sheria za vita wamesama no way, ukipiga civilian tunapiga civilian.

Pelekeni wakristo wakasome kilimo Israel hu ndio wakati wake, mihogo inakubali kweli πŸ˜„
 
Sawa tutaona
 
Israel ina uwezo wa kuishambulia Lebanon lakini haitothubutu, huu ujinga wa kusema eti Israel itaanza kulaumiwa kwanii inaua wanawake na watoto hautotokea, Hezbollah ina missiles za kufika na kupiga eneololote lile Israel, hata bungeni ama ikulu.

Israel yenyewe inafahamu capability ya hezbollah na hai underestimate uwezo wake, lakini wayahudi humu kutoka Simiyu wanai underestimate hezbollah.
 
Waarabu koko wameanza vitisho kama kawaida. Hao magaidi wa Hezbollah wanajipanga kukimbilia kujificha kwa wanawake na watoto kama ilivyo ada lakini hamna namna kwa sababu vita havina macho wakufa itabidi wafe tu.
Safari hi taifa teule la paulo wataishi kwenye mashimo tu pale Tel Aviv we tulizana mziki wa Hezbullah ukianza.

America na Europe nzima watalalanika Hezbollah anauwa watoto na wanawake wa Israel.
 
Israel kwa sasa ina wakati mgumu kwa Hizbullah.

Mashambulizi aliyofanya leo Hizbullah ni makubwa. Laiti wangelikuwa tia maji Israel kwa hulka yake kitambo angetangaza vita rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…