Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Profesa wa agano jipya😀😀😀Vita na hizbullah ni mtego mkubwa kwa israel,nchi za kiarabu zitapeleka wanamgambo wengi,upande wa hizbullah ili kulipa kisasi cha israel ilichofanya gaza.
Ingawa vita itakuwa kubwa na kali sana,mwisho wa siku israel atashinda,na huenda lebanon ikakaliwa baadhi ya maeneo kinguvu..
Wakianza kuwachapa lakini msianze kulialia ooho hamchelewi Mwanzo mnachekelea Mwisho mnaanza kulia⚠️BREAKING NEWS⚠️
🇮🇱🇱🇧 Hezbollah attacked Israel this morning with about 150 rockets. Mount Meron and the air control base are burning.
Wanaenda kujifichia kwa Wanawake na Watoto 😆Waarabu koko wameanza vitisho kama kawaida. Hao magaidi wa Hezbollah wanajipanga kukimbilia kujificha kwa wanawake na watoto kama ilivyo ada lakini hamna namna kwa sababu vita havina macho wakufa itabidi afe tu.
Ni ngumu!Vita na hizbullah ni mtego mkubwa kwa israel,nchi za kiarabu zitapeleka wanamgambo wengi,upande wa hizbullah ili kulipa kisasi cha israel ilichofanya gaza.
Ingawa vita itakuwa kubwa na kali sana,mwisho wa siku israel atashinda,na huenda lebanon ikakaliwa baadhi ya maeneo kinguvu..
Safari hii wenzake wamemwambia hawatashambulia miundombinu ya kijeshi tu ya Israel bali nao watashambulia makazi ya raia kama Israel inavyofanya. Yaani wamemwambia wazi kuwa hatutofuata sheria za vita za kimataifa.Wakianza kuwachapa lakini msianze kulialia ooho hamchelewi Mwanzo mnachekelea Mwisho mnaanza kulia
Kwamba?Kumbe ni uongo eeh?
Naomba kufahamishwa sababu ya Lebanon kuingia vita Sasa hivi na Israel?
LINGWAMBA gammaparticles zithromax Hammaz uchumi2018 Adiosamigo Bwana UtamSababu hasa ya hizbu kushambulia Israel ni nini?
Ni kutaka vita tu?
Naombeni mnaojua mnijuze
Una akili za samaki.Kwamba?
Nakuja kuogelea kwakoUna akili za samaki.
Marekani kazi ya Rais ni ku maintain illusion ya democracy, huyo taira Biden au Chizi Trump sio wanaoongoza MarekaniTrump anapenda amani sana. Ubabe mwingi wa maneno, ila lengo lake ni kuweka legasi ya uchumi mzuri duniani.
Hivi huyo hajui sababu gani Hezbollah kaingia vita na Israel 😄
Katika viongozi wa USA Trump has a gut to say no.Marekani kazi ya Rais ni ku maintain illusion ya democracy, huyo taira Biden au Chizi Trump sio wanaoongoza Marekani
Military industrial complex na network yao ya multinational big cooperations, bankers na assets management firms kama BlackRock ndio wanao decide sera za ndani na za nje za Marekani....ile ni nchi ya kibepari kwa 105%
You've a point. But it matters a lot who is at the top.Marekani kazi ya Rais ni ku maintain illusion ya democracy, huyo taira Biden au Chizi Trump sio wanaoongoza Marekani
Military industrial complex na network yao ya multinational big cooperations, bankers na assets management firms kama BlackRock ndio wanao decide sera za ndani na za nje za Marekani....ile ni nchi ya kibepari kwa 105%
Huna ulijuwalo zaidi ya ujinga tu.Nakuja kuogelea kwako
Hakuna kinacho change...sera za Marekani always zinakua decided na kundi hilo hilo moja, na hakuna contradictions kwenye plans zao, ni approachs ndio zina differYou've a point. But it matters a lot who is at the top.
Don't tell me, had Trump won his second term, Ukraine-Russia war would have broken out anyway.
You should also notice that those self-styled world prefects are not always accurate in predicting (plan-execute) world events.
They have a part to play - that's fulfilling some grand, gigundous mission, which is, by the way, not of their own.
Sawa mremboHuna ulijuwalo zaidi ya ujinga tu.
Maneno ya kawaida tu hayo hakuna tusi humoMkuu unatukana kwa sababu ya Israel kweli? Au mwenzetu ni myahudi?
Magaidi zaidi ya 500 yanafaidi mabikira huko peponi. Sasa myahudi akiingia mazima itakuaje?!Endelea kujipa moto wakati Wayahudi wenzako wanachomwa singe za makalio
Tupe wewe hiyo idadi ya waliokufa. Maana inaonekana unajua zaidi ya IDFIDF wamekufa wangapi maana wao israel hata gari imebebwa wanajeshi tupu ikipgwa kombora yote ikatekea utaambiwa kajeruhiwa mmoja tu wengine wote wazima