Kipigo cha mbwa mwizi Chaiondoa Kenya AFCON 2019

Kipigo cha mbwa mwizi Chaiondoa Kenya AFCON 2019

Bingwa wa AFCON hii ni Mali, Algeria au Egypt.

Mali wanasakata kambumbu ajabu
 
Mali is Number one in their group while Angola is third with 2 points... If Mali wins or draws then Kenya proceeds. The same with Cameroon and Benin.
Mali anashinda hiyo game kwa 2+ goals
 
Chuda...bro!!chuda ni nn?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]km hujui uliza uambiwe..wacha kuropoka
Jiheshimu Mimi sipafahamu sitoenda Chuda.....Mombasa
 
Kisha huu uzi naona umeufungua kinyonge kwel..ilkuwa hujala nn..manake duh!!au umeshakunywa supu socerer
Kutokana na hali halisi kuwa timu nne ambazo ni namba tatu zitasonga mbele hatua ya mtoano ktk 16bora, timu ya Kenya Harambee stars kwa jinsi ilivyochakazwa na Senegal 3-0 imeifanya timu ya Kenya kuwa na goal difference (-ve4) ambayo ni mbaya sana kimsimamo.Ma

#3 Kundi A.
DRC Pts:3 Gd: 0
#3 Kundi B.
Guinea Pts:3 Gd: 1
#3 Kundi C.
Kenya Pts: 3 Gd: -4
#3 Kundi D.
SouthAfrica Pts: 3 Gd: -1
............................................

Kwa msimamo huo hapo juu, ili kenya ifuzu inabidi timu zote za kesho zitoke sare au suruhu, ikitokea timu zimefungana na moja kuibuka mshindi basi Harambee Stars itafungasha virago pia.
 
Until tomorrow's games. Anyway Mimi bora Kenya is ahead of Tanzania as always.

Nyie Wakenya mnashangaza sana, yaani sisi wenzenu waTz tunapambana tuwe ahead na SA, nyie mnapambana muwe ahead na Tz, yaani mnataka muwe No.01 kwenye darasa la wajinga, haya tumewapa
 
Chuda...bro!!chuda ni nn?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]km hujui uliza uambiwe..wacha kuropoka
Ulitaka niseme Kongowea au vipi Jamaa ya Shimoni
 
All that Kenya needs is Mali to win or draw against Angola and Cameroon to win or draw against Benin and then we are free.
Bro, only Mali and Cameroon to win....No draw..If they draw we will be out due to the huge negative GD
 
Sengal 2 tanzania 0
Kenya 3 tanzania 2
Algeria 3 tanzania 0

Mbona mandugu zangu mwapenda kuongea sana? Hata kushinda game moja hamkuweza? Na mko hapa mkiropoka ropoka kama ma frao hio si show. spencer mzee74 Meljons
Tatizo mliongea shit sana kwa kuipiga tz 3-2, sasa mbona hamjaipiga hiyo senegal according to maneno yenu mengi?? Hatujakataa kufungwa tumefungwa!!
 
Natamani siku ambayo nchi zetu zitafanya juhudi za makusudi kuwekeza kwenye michezo kama nia na matamanio yetu kweli ni ushindi. Hii ya kubaki kuhesabu vidole fulani afunge au afungwe... haina mashiko asilani....
 
Wapuuzi mliongea sana, leo mmepapaswa na Senegal *****
Na bado tutaongea.Tanzania is the weakestr team in this tournament and should never be allowed near it again.Mnapeleka AFCON matumbo imejaa chipsy mayai.
 
Back
Top Bottom