Kipigo cha mbwa mwizi Chaiondoa Kenya AFCON 2019

Kipigo cha mbwa mwizi Chaiondoa Kenya AFCON 2019

Tumepishana padogo sana wao +254 na sisi ni +255 ila wanajifanya wao wajanja kisa wametuotea tu
Wajua tangu zamani hizi nchi mbili zimekuwa na ugomvi juu ya mambo mengi wakenya hawachukii watanzania na vice versa ni tu vile ikifika wakati wa kushindana ndio tunakuwa wazalendo sana mpaka twaanza kugombana. Lakini mandugu hugombana, hupigana na hupendana. Pamoja.
 
Kwa mazingira ya mataifa haya mawili lugha na mengineyo kwa maana mahusiano tumeingiliana sana sasa hizi tofauti aziwezi kutusumbua hata kidg hua tunazinguana alafu tunaendelea ni utani mzur mfano nw wote sasa tunafanya mengine na simba iko na mazungumzo na gor mahia kuchukua wachezaji safi kabs ahahahahaha
 
Kufanya utalii,rudini tukae tukunywe kahawa tujadili tulikosea wp?hata mkienda huko mbele itakuwa aibu
GUINEA vs GHANA (0-1)
Matokeo ya Ushindi upande wowote mechi hii au Sare au sululu ni Mwiba kwa Kenya.
 
Back
Top Bottom