lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
taifa limetambua umuhimu wa JKT, vijana wamekuwa legelege,wavaa mlegezo wakitishiwa na wembe tu wanatishika kiasi cha kubakwa, hawajui hata jinsi gani ? ya wao wenyewe kujilinda wanatetemeshwa na mateja kiasi cha kutii amri yao, lkn wanajifanya ngangari kukataa amri ya polisi.