yaaaaani ukisikia ujinga na upumbavu ndiyo huu, wanaume wazima wanabakwa. Halafu eti wanakuja hata hapa JF, eti hali ni mbaya tuna bakwa, wanaume wazima, hivi mno akili ya kuku nini nadhani hata kuku anawazidi akili maana yeye hupambana na mwewe asile watoto. Kama kuna mwenzenu kashikishwa ukuta,, Pigeni kimya kisha mnaanza mawindo ya adui zenu kimya kimya halafu mnatoa dozi (kichapo cha kueleweka) ya nguvu kwa hao wabakaji.
kisha muone kama watarudi, lkn kwa sasa nyie WA IFM mmeonesha kuwa nyie ni nyanya za ilula. Kuwa mwanaume ni zaidi ya kuvaa suruali, tatizo lenu mnavaa kata k, angalie yamewakuta ya kuwakuta, acheni kulipigia kelele jeshi la polisi wana kazi nyingi zaidi ya kulinda hostel