Kipigo cha wana ifm: Kova ameonesha uhalisia wa jeshi la polisi.

Kipigo cha wana ifm: Kova ameonesha uhalisia wa jeshi la polisi.

Mkuu hajaonesha chuki yoyote kwani yote aloyasema ni ukweli mtupu.... Tuna polisi wengi kiasi gani wamlinde kila mtu???? Waache usharobaro cha kushangaza hata wanaume nao wanabakwa???? Jilindeni nyie na mali zenu.... Nina uhakika kama mkiamua kujilinda hakuna watakao wasumbua after all wanaokuja kuwaibia wengi ni mateja!!!! :glasses-nerdy:

itakuwa sio chuki vijana wengi ni lege lege... .ni ubwege kushindwa kujilinda wao wenyewe, ukizingatia hawajapata ushirikiano toka police....

Ww nawe! Chuki gani sasa kwa mchango wa jamaa!

ulikuwa ni mtazamo tu. msitoke mishipa namna hiyo
 
BLUE: Jamani, suala la ulinzi ni letu wote. polisi hawawezi kutulinda sote ni jukumu letu kuhakikisha mazingira salama tunapoishi

Katika hili siwezi kukubaliana na wewe hata ukinishawishi vipi. Polisi wamepatiwa mafunzo na wamekabidhiwa silaha za moto ili waweze kukabiliana na wahalifu na uhalifu wowote kwa kuzingatia kwamba huo ndio wajibu wao wa msingi kulinda raia na mali zao. Kazi yetu sisi tusio polisi ni kuwasaidia kwa kuwapa taarifa za uhalifu na wahalifu.

Wanafunzi wamekuwa wakitoa taarifa kituo cha polisi kigamboni juu ya uhalifu unaofanyika katika hosteli zao lakini polisi hawajawahi kuchukua hatua zozote na matokeo yake vitendo vya wizi na uhalifu vimeendelea kuongezeka. Hili la uzembe wa polisi halihitaji utetezi wa aina yoyote kwa kweli. Kwa mimi ambae nimewahi kuishi kigamboni ninafahamu jinsi polisi wananyoshirikiana na wahalifu na sikushangaa kusikia kwamba pamoja na OCD kupewa taarifa mara kwa mara hakuwahi kuchukua hatua hata mara moja. Isipokuwa kutumia nguvu nyingi kuwapiga vijana wasiokuwa na chochote mkononi zaidi ya simu zao za mkononi.

Hii ni aibu na kashfa nyingine kwa jeshi la polisi kwa kujikusanyia simu za wanafunzi na kujimilikisha.
 
nyie wanafunzi acheni ubishoo na usharobaro, hivi kweli hao vibaka wanawaingilia hadi hosteli na kuwaibia na kama haitoshi kuwabaka? haijawahi kutokea, kweli watoto wa kiume mnashindwa kupambana? eti mnataka ulinzi wa polisi, polisi atawalinda hadi billicanas? kwanza watoto wa kiume mnajichubua pia mnavaa mlegezeo(mnawatamanisha mkalio yenu) kwanini wasiwabake! pia HAMNA USHIRIKIANO NA WENYEJI MNAJIONA NYIE NDIO NYIE HATA SALAMU HAMNA, MNACHUKUA DADAZAO NA WAKE ZAO HALAFU WAKILIPIZA MNATAKA ULINZI WA POLISI( POLISI WANALINDA VIONGOZI WA NCHI NA TAASISI NYETI KAMA MABENKI SIO HOSTELI ZA WANAFUNZI). ushauri: BADILIKENI.

Mkuu hajaonesha chuki yoyote kwani yote aloyasema ni ukweli mtupu.... Tuna polisi wengi kiasi gani wamlinde kila mtu???? Waache usharobaro cha kushangaza hata wanaume nao wanabakwa???? Jilindeni nyie na mali zenu.... Nina uhakika kama mkiamua kujilinda hakuna watakao wasumbua after all wanaokuja kuwaibia wengi ni mateja!!!! :glasses-nerdy:

itakuwa sio chuki vijana wengi ni lege lege... .ni ubwege kushindwa kujilinda wao wenyewe, ukizingatia hawajapata ushirikiano toka police....

Ww nawe! Chuki gani sasa kwa mchango wa jamaa!

kwanza ametumia kauli za majumuisho sana, si kweli kuwa wote wako hivyo sote tunajua hilo, aliyoyasema mengine yana ukweli lakini mengine ana uhakika nayo? mf katika red, hapo katika green kuna wanume wangapi wanafanyiwa unyama wa aina yoyote bila kujitetea zipo nyakati na uanaume wako ukibanwa unafanyiwa lolote hapo hakuna cha uanaume wala ujibaba.
kwenye bluu yote haya majumuisho.
haya tuseme kijana wako anasoma huko utaacha afanyiwe unyama wa namna hii eti kwa sababu ni sharobaro au bishoo au hasalimiani na watu? ipo namna ya kumfunza huyu sio kumtakia unyama.
haya katika bluu ni matatizo makubwa ya vijana wa sasa lakini je hivi ndivyo sisi wanajamii tunataka wafanyiwe?
ni mtazamo tu kama mnaona mchangiaji huyu kasema sahihi sawa.
aliyoyasema yaweza kuwa kweli lakini solution to that problem ndio hivyo alivyotaka iwe?
 
kuandamana ni udhaifu wangeunda timu ya viongozi wa serikali ya chuo na wakamuona kova kwa siri hao wangeingia mtegoni sasa wameandamana walichovuna hakuna hao vibaka wameshavuka na labda wamejificha kwahiyo mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba na kula uhondo kwataka vitendo asiye vitendo hula uvundo,vijana wabadilike wasidanganywe na giza wakanya mlangoni patakucha na wataumbuka
 
nimetazama kwa masikitiko jinsi watoto watanzania walioenda kulilia baba yao (serikali) awaepushe na janga la kubakwa walivyosurubishwa na dola. huu ndiyo uhalisia wa jeshi letu; ukienda polisi kutoa taarifa ya uharifu unakuwa mtuhumiwa wa kwanza, . mbaya zaidi Kova anaenda mbali kwa kuwataka wanafunzi wamsaidie yeye kuwalinda wananchi wa kigamboni ambao wanakila aina ya madhila ya wizi, ubakaji na vurugu za mitaani. inasikitisha sana.
Acheni uchochezi. walipopigwa wialsm mlisherehekea. sasa hivi mnaumia. acheni unafiki
 
Makosa yao ni:
1. Kuandamana bila kibali kutoka Polisi
2. Madai yao hayaingii akilini mwa mtu mwenye akili timamu.

Sasa ndio apigwe namna hiyo na askari wawili tayari akiwa chini? Hivi ni mtu gani mwenye akili timamu anayekubali kitendo hiki cha kupiga kwa hayo`'makosa'?
 
Picha hii imenihuzunisha sana. Wamefanya kosa gani hawa mpaka wastahili kipigo kama hiki cha kufa mtu?

View attachment 79503

Hivi kweli Askari wawili wanashindwa kumdhibiti kijana mmoja hadi watumie virungu namna hii.

Kitendo cha kijana kunyosha miko juu ina maana kuwa amesalimu amri hivyo yupo tayari kukamatwa.

Hapa ina maana hawa askari wangelikuwa na ile Bunduki ya Bomu la Machozi... Walllahiii Wangem-David Mwangosi huyu Kijana!!!!

Jeshi la Polisi ni lini watakuwa na busara katika utendaji wao wa kazi. Ni lini watajua sheria inasemaje kuhusu mtu aliyenyoosha mikono miwili juu (Kujisalimisha)

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Katika hili siwezi kukubaliana na wewe hata ukinishawishi vipi. Polisi wamepatiwa mafunzo na wamekabidhiwa silaha za moto ili waweze kukabiliana na wahalifu na uhalifu wowote kwa kuzingatia kwamba huo ndio wajibu wao wa msingi kulinda raia na mali zao. Kazi yetu sisi tusio polisi ni kuwasaidia kwa kuwapa taarifa za uhalifu na wahalifu.

Wanafunzi wamekuwa wakitoa taarifa kituo cha polisi kigamboni juu ya uhalifu unaofanyika katika hosteli zao lakini polisi hawajawahi kuchukua hatua zozote na matokeo yake vitendo vya wizi na uhalifu vimeendelea kuongezeka. Hili la uzembe wa polisi halihitaji utetezi wa aina yoyote kwa kweli. Kwa mimi ambae nimewahi kuishi kigamboni ninafahamu jinsi polisi wananyoshirikiana na wahalifu na sikushangaa kusikia kwamba pamoja na OCD kupewa taarifa mara kwa mara hakuwahi kuchukua hatua hata mara moja. Isipokuwa kutumia nguvu nyingi kuwapiga vijana wasiokuwa na chochote mkononi zaidi ya simu zao za mkononi.

Hii ni aibu na kashfa nyingine kwa jeshi la polisi kwa kujikusanyia simu za wanafunzi na kujimilikisha.
Mwita Maranya, ndugu yangu hujanisoma ukanielewa.

Kamwe siwezi kutetea utendaji mbovu wa jeshi letu la polisi..kamwe!

Ila bado nasisitiza kuwa usalama/ulinzi wa mtu unaanzia kwa mtu mwenyewe.
Na hii ni specific kwa kigamboni na wanafunzi waishio humo.

1. Wanafunzi wengi hufungulia muziki usiku, hii husababisha hata wenzao wanapovamiwa usiku wanashindwa kufahamu.
2. Milango haifungwi au haiko katika hali nzuri ya usalama.

Nasema hayo kwani ndiyo ninayoyaona. Hilo la polisi kuiba simu, na mengine kweli ni doa.
 
Last edited by a moderator:
Makosa yao ni:
1. Kuandamana bila kibali kutoka Polisi
2. Madai yao hayaingii akilini mwa mtu mwenye akili timamu.

je, ndivyo sheria ya Tanzania inavyosema kumpiga mtu aliyenyoosha mikono miwili juu kujisalimisha??????

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
yaaaaani ukisikia ujinga na upumbavu ndiyo huu, wanaume wazima wanabakwa. Halafu eti wanakuja hata hapa JF, eti hali ni mbaya tuna bakwa, wanaume wazima, hivi mno akili ya kuku nini nadhani hata kuku anawazidi akili maana yeye hupambana na mwewe asile watoto. Kama kuna mwenzenu kashikishwa ukuta,, Pigeni kimya kisha mnaanza mawindo ya adui zenu kimya kimya halafu mnatoa dozi (kichapo cha kueleweka) ya nguvu kwa hao wabakaji.

kisha muone kama watarudi, lkn kwa sasa nyie WA IFM mmeonesha kuwa nyie ni nyanya za ilula. Kuwa mwanaume ni zaidi ya kuvaa suruali, tatizo lenu mnavaa kata k, angalie yamewakuta ya kuwakuta, acheni kulipigia kelele jeshi la polisi wana kazi nyingi zaidi ya kulinda hostel
 
RED: (Kwa askari mnaowalipa 276,000/- basic salary (
.

Hiyo kama ni basic pay mbona askari wana nyumba,magari na hata wanashinda baa wanakunywa na kunywesha watu wengine.SIAMINI HATA KIDOGO
 
Acheni uchochezi. walipopigwa wialsm mlisherehekea. sasa hivi mnaumia. acheni unafiki

ooooooh, gosh!. nilidhani natetea raia na si dini fulani. but sory; nilikuwa nimesahau kuwa chuo cha IFM ni kwa wasio waislam tu. lakini hata makanisa yalipochomwa sikutetea kamwe, padri alipokuwa-assaulted sikuchangia. but sory, nilikuwa nimesahau kuwa WAISLAM hawarusiwi kusoma IFM sory.
 
Mkuu hajaonesha chuki
yoyote kwani yote aloyasema ni ukweli mtupu.... Tuna polisi wengi kiasi
gani wamlinde kila mtu???? Waache usharobaro cha kushangaza hata wanaume
nao wanabakwa???? Jilindeni nyie na mali zenu.... Nina uhakika kama
mkiamua kujilinda hakuna watakao wasumbua after all wanaokuja kuwaibia
wengi ni mateja!!!! :glasses-nerdy:

mi nahisi wanaume waliobakwa walilewa chakari wakalala wakalaliwa ama ni mashoga wanaficha aibu yao baada ya kubainika, jifunzeni ulinzi jirani/shirikishi, polisi idadi yao ni 30elfu nchi nzima, wananchi tuko milioni 40 unataka mlindwe mmoja mmoja na mnavyotoka club! maweeeeeeeee
 
Nyie mnaongea nini.. Angekua mtoto wako au ndugu yako hapo wa damu mngekuwa mstari wa mbele kulalamika, Hata kama wamekosea Sio kumpiga mtu kuna njia nyingine za kuwafundisha hata mabomu ya machozi yanatosha kutuliza fujo. This guys are nuts, tulioondoka bongo haturudi sababu ya ujinga kama huu, Hakuna hata pa kwenda kulalamika kwa kipigo hicho. Hawa polisi kama hawana ndugu vile. Wakae chini wafikirie watatatuaje tatizo, solutions zipo nyingi sio tu kwenda kuwalinda ila kuna techniques nyingi za kukamata wezi sijui kwa nini hili bongo hawalioni. Waweke basi hata alarm mtu akivamiwa ana alert wenzake na jeshi la polisi taarifa inafika automatic within minutes wanakua hapo. Mwezi moja tu kunakua na changes, ni kitu ambacho hata $10,000 haifiki.. What a poor nation
 
yaaaaani ukisikia ujinga na upumbavu ndiyo huu, wanaume wazima wanabakwa. Halafu eti wanakuja hata hapa JF, eti hali ni mbaya tuna bakwa, wanaume wazima, hivi mno akili ya kuku nini nadhani hata kuku anawazidi akili maana yeye hupambana na mwewe asile watoto. Kama kuna mwenzenu kashikishwa ukuta,, Pigeni kimya kisha mnaanza mawindo ya adui zenu kimya kimya halafu mnatoa dozi (kichapo cha kueleweka) ya nguvu kwa hao wabakaji.

kisha muone kama watarudi, lkn kwa sasa nyie WA IFM mmeonesha kuwa nyie ni nyanya za ilula. Kuwa mwanaume ni zaidi ya kuvaa suruali, tatizo lenu mnavaa kata k, angalie yamewakuta ya kuwakuta, acheni kulipigia kelele jeshi la polisi wana kazi nyingi zaidi ya kulinda hostel

kwa moyo moja naomba Mungu akusamehe nahamu mdogo wako angefanyiwa hivo hayo machungu sijui unekurupuka kuropoka kama ulivoropoka hivo. Wanakuja wanaume zaidi ya kumi wana mapanga.na visu.nyie mko watatu hamna hata silaha alafu utaongea nini unaeza hata gombana nao? watu wenyewe washashindikana na hata wakikuua hawana hasara vipi mzee kipi bora si roho yako? afu badala ya kuwaonea huruma na kulaaani.hiki kitendo mnaishia kutoa shutuma kwa wanafunzi mara wanalewa mara wanavaa kata K. hamjui tu na hayo mambo yenu.mnayoropoka hamjui inauma kiasi.gani kusikia vijana wanafanyiwa unyama kama huu na mnashabiki Mungu awasamehe tena ombeni tu.muendelee hivohivo.kuyasikia kwa wengine
 
Back
Top Bottom