Kipigo cha ZANACO chamvuruga kabisa Manara, aingia mitini na kukwepa kipindi cha redio asubuhi hii

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Leo hii Msemaji wa Club ya Yanga Ndg. Haji Manara ali maarufu Msukule au Miss Buzza alikuwa amealikwa kwenye kipindi cha joto la asubuhi kinachaandaliwa na Gerald Hando kupitia redio EfM.

Mpaka sasa bado anasubiriwa na hajaonekana na kipindi kiltakiwa kuanza saa moja kamili asubuhi (1:00) .Popote pale alipo tunaomba akumbushwe ili aweze kufika mara moja.

MSEMO WA LEO: SISI TUNA WATU
 
Leo hii Msemaji wa Club ya Yanga Ndg. Haji Manara ali maarufu Msukule au Miss Buzza alikuwa amealikwa kwenye kipindi cha jotO la asubuhi kinachaandaliwa na Gerald Hando kupitia redio EfM. Mpaka sasa bado anasubiriwa na hajaonekana na kipindi kiltakiwa kuanza saa moja kamili asubuhi (1:00) .Popote pale alipo tunaomba akumbushwe ili aweze kufika mara moja....

MSEMO WA LEO: SISI TUNA WATU
Inaonekana umeumizwa kweli na uhamaji wake, kwani umeandika kwa chuki kubwa!!kwenye tamasha la jana haji alitimiza jukumu lake kwa asilimia zote, kwani sio kwa nyomi ile, na libakia kuwa miongoni mwa tamasha bora kabisa kwa yanga kulinganisha na yaliyopita!tukubali tu haji ana kipaji chake.Mambo ya uwanjani hayo hayahusiani na haji hata kidogo, Ngoja tusubilie hilo la simba, ambalo mtatakiwa kuliandaa zaidi kuliko hilo la yanga!!
 
Leo hii Msemaji wa Club ya Yanga Ndg. Haji Manara ali maarufu Msukule au Miss Buzza alikuwa amealikwa kwenye kipindi cha jotO la asubuhi kinachaandaliwa na Gerald Hando kupitia redio EfM.

Mpaka sasa bado anasubiriwa na hajaonekana na kipindi kiltakiwa kuanza saa moja kamili asubuhi (1:00) .Popote pale alipo tunaomba akumbushwe ili aweze kufika mara moja.

MSEMO WA LEO: SISI TUNA WATU
Manara sio kocha
 
Inaonekana umeumizwa kweli na uhamaji wake, kwani umeandika kwa chuki kubwa!!kwenye tamasha la jana haji alitimiza jukumu lake kwa asilimia zote, kwani sio kwa nyomi ile, na libakia kuwa miongoni mwa tamasha bora kabisa kwa yanga kulinganisha na yaliyopita!tukubali tu haji ana kipaji chake.Mambo ya uwanjani hayo hayahusiani na haji hata kidogo, Ngoja tusubilie hilo la simba, ambalo mtatakiwa kuliandaa zaidi kuliko hilo la yanga!!
Kwani kuna mashindano ya kuandaa tamasha mdau
 
Inaonekana umeumizwa kweli na uhamaji wake, kwani umeandika kwa chuki kubwa!!kwenye tamasha la jana haji alitimiza jukumu lake kwa asilimia zote, kwani sio kwa nyomi ile, na libakia kuwa miongoni mwa tamasha bora kabisa kwa yanga kulinganisha na yaliyopita!tukubali tu haji ana kipaji chake.Mambo ya uwanjani hayo hayahusiani na haji hata kidogo, Ngoja tusubilie hilo la simba, ambalo mtatakiwa kuliandaa zaidi kuliko hilo la yanga!!
Mkuu kwa hilo mnalimudu hongera lkn kwa timu ya ubingwa huna.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana umeumizwa kweli na uhamaji wake, kwani umeandika kwa chuki kubwa!!kwenye tamasha la jana haji alitimiza jukumu lake kwa asilimia zote, kwani sio kwa nyomi ile, na libakia kuwa miongoni mwa tamasha bora kabisa kwa yanga kulinganisha na yaliyopita!tukubali tu haji ana kipaji chake.Mambo ya uwanjani hayo hayahusiani na haji hata kidogo, Ngoja tusubilie hilo la simba, ambalo mtatakiwa kuliandaa zaidi kuliko hilo la yanga!!
Msukule wenu uliwaaminisha ongea yake itawasaidia ona sasa kapumbu kafanya yake kwenye siku yenu
 
Wanakwambia ile ni mechi tu ya kirafiki atuwezi kuumia nafsi,swali linakuja,"kwanini mlishangilia Makambo alipofunga goli?
Kama mlipofunga mlishangilia ndo hivyohivyo mkifungwa mtaumia nafsi.
"uwezi kuukimbia ukweli abadan"
 
Msukule wenu uliwaaminisha ongea yake itawasaidia ona sasa kapumbu kafanya yake kwenye siku yenu
Kwa mwenye akili timamu hawezi kuaminishwa na msemaji wa timu kuwa timu itashinda , kocha mwenyewe anayejielewa hawezi fanya hivyo!!kwani kipindi alipokuwa akiwaaminisha kuwa kwa simba hii hata barca anakaaa!!mlikuwa mkimuamini??hiyo ni HULKA, ya mwafrika akikosa kitu lazima aseme vibaya tu, Manara ana madhaifu yake tena mengi tu lakini kwenye amsha amsha (hamasa)na ushawishi hana mpinzani kwasasa!!
 
Amsha hamsha bila ushindi wa team ni bure team inayoshinda mashabiki hujongea uwanjani bila kulazimishwa, maana huyo manara muliona ka ndo mfungaji magoli mtabaki na huo ujinga wa amsha amsha huku kapumbu akiwanyoosha tu,
 
Maneno ya mkosaji hayo!!gsm yeye anafahamu ni kwa kiasi gani atanufaika naye, na ndio maana mudy alitaka awe anatangaza bidhaa zake, manara kwa yanga kama hawana uwezo uwanjani hana uwezo wa kuwafanya awe na uwezo huo, lakino ki uchumi ana umuhimu sana.
 
Back
Top Bottom