Kipigo cha ZANACO chamvuruga kabisa Manara, aingia mitini na kukwepa kipindi cha redio asubuhi hii

Kipigo cha ZANACO chamvuruga kabisa Manara, aingia mitini na kukwepa kipindi cha redio asubuhi hii

Maneno ya mkosaji hayo!!gsm yeye anafahamu ni kwa kiasi gani atanufaika naye, na ndio maana mudy alitaka awe anatangaza bidhaa zake, manara kwa yanga kama hawana uwezo uwanjani hana uwezo wa kuwafanya awe na uwezo huo, lakino ki uchumi ana umuhimu sana.
Chukueni huo msukule wenu mnufaike vizuri na team yetu yenu mkuu, ka team ya Zambia inawanyoosha na ndio mnufaiko wenyewe hongereni
 
Screenshot_20210830-111617.png
 
Kinachouma zaidi ni kwalipia nauli ya ndege na malazi timu ya Zanaco alafu wanawaharibia shughuli,icho tu ndo kinakera[emoji23][emoji28]
 
Leo hii Msemaji wa Club ya Yanga Ndg. Haji Manara ali maarufu Msukule au Miss Buzza alikuwa amealikwa kwenye kipindi cha joto la asubuhi kinachaandaliwa na Gerald Hando kupitia redio EfM.

Mpaka sasa bado anasubiriwa na hajaonekana na kipindi kiltakiwa kuanza saa moja kamili asubuhi (1:00) .Popote pale alipo tunaomba akumbushwe ili aweze kufika mara moja.

MSEMO WA LEO: SISI TUNA WATU
Wao Wana MUNGU!
 
Nimependa hilo la aka miss buza[emoji1319][emoji1319][emoji1312]
 
Back
Top Bottom